nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,673
- 5,402
Tena wengi wanaish sinza, wanajikuta wadada wa mjini kweli kweli, sasa mbaya zaid uchumi wa mjomba Maghu unazid kuwala vibaya vibaya. Masukar baba walokuwa wamewapangia vyumba wameamua kubaki na familia zao. Sasa wanahaha, wapenda dezo ya kugegeda jamani sasa hiv wanapatikana kwa mafungu.