Hivi hapa duniani kuna jiji lenye wasichana wenye njaa kali kama Dar?

Tafuta pesa kijana,acha kulalamikia senti yk ndogo unayotoa kwa msichana,kwn dar hujaona wasichana walio vzr kipesa na hawategemei senti zenu kuendesha maisha?
 
baelezeee........................................
 
na magufuli ndio kafanya njaa iwe kali zaidi
 
Inaonekana hujawahi kutembea. Nadhani wadada wa tz bado wana nidhamu hata kama kuna malaya. Hata hao malaya wana nidhamu pia. Usiende mbali ukitaka kuyaona nenda Nairobi na Mombasa.
 
Unaweza kuita 'njaa'
wenzio wakaona'kukuingiza mjini'...kila mtu na tafsiri yake
 
dar wadada n wastaharab sn, nenda morogoro kjna ukfanye kuw papatikia asubuh yke utajkuta umebak na boksa peke ake.
 
Inaonekana hujawahi kutembea. Nadhani wadada wa tz bado wana nidhamu hata kama kuna malaya. Hata hao malaya wana nidhamu pia. Usiende mbali ukitaka kuyaona nenda Nairobi na Mombasa.
Swadakta
 
Unavyotongoza ndoo una vyochukuliwa. Ukijifanya mnunuzi unauziwa
 
Back
Top Bottom