hebu nieleweshe kaka...
Mie waliexpect less nikawapa zaidi au waliexpect zaidi nimewapa less?.....l.o.l
kwetu mbagala mchafukoga!
kwako wali expect zaidi.
Wewe unawapa less......
Sasa jifanye mnyonge......kwanza....
huoni nakwangua chawa hapo kaka?
Mambo Pauline si unaona hapo kwenye reply na Reply with Quote kuna box pembeni ? sasa unagusa hapo kwa wote unaotaka kuwa-quote inatokea tick sasa kwa yule wa mwisho hugusi hapo unagusa Reply with qoute zinatoka zote hata kama ziko page tofauti,hebu jaribu nijuwe umeelewa NB: si umeona nilivoshambuliwa kwenye thread yako ya mgomo ? yote nimekubali kwa hiyo 'true smile' yako lol!
Kwahiyo mimi utanikagua mwenyewe sio lol!
hahahaaa kazi ya ukaguzi nimempa pauline bana
huwa sipendi agents.....
ha ha ha
kaka ukiwa mnyonge kuna mbinu zake
na ukiwa powerfull kuna mbinu zake...
Sasa hapo si uoge kwanza lol
Somo la pili, unaweza kumjibu kila mtu baada ya quote yake kwahivyo kila jibu litatoka baada ya quote.pole uporoto,niliona siku ile walivyokuonea.....hapa nafanya testing lol asante kwa somo.
kama kuoga ni usafi taulo lisinge chafuka!
ha ha ha kaka toka urudi mbagala kiswahili ni fluent.....
At first nilidhani kiswahili hujui vizuri lol
kaka kama una script ya muvi hapa ndo pake.....
Si umeona kuna mabano mwanzo na mwisho lenye neno QUOTE sasa andika baada ya mabano ukiandika ndani unapata hiyo message too short.mbona nilifanya hivyo ikaniambie message enterd is too short...ehe embu nielekeze vizuri.
ha ha but when it comes to women,u must do the oposit of the movies...trust me..
duh! Never knew that!
Saa hiii ni down to earth kwenda mbele!
the first rule of the game
never be too desperate..prepare to lose her..if it comes...
gotcha on dat!
Mi nilikuwa nadhani akionesha despair ndo anajua unampenda?
I mean improve.....
so what u' mean is that you have to show her kwamba there are others better than her...