hivi hapa JF...wakaka

hivi hapa JF...wakaka

hahaha...rangi haihusiki hapa ingawa weupe wengi ni wajaza upepo,si unajua tena wanavyopenda kuuza sura,chuma lazima wabebe
Sijaiona hii comment napita tu jameni habari ya asubuhi mama wa kwanza
 
Masaa yote wamekaa chini wakisurf jf mpaka saa nane usiku mazoezi watafanya saa ngapi ili wawe hivyo? Labda wale wa asubuhi mpaka saa kumi then mazoezini
...I'am watching you.........!

Naomba unikagulie nguli jabali, klorokwini, cpu, akili unazo, bujibuji, mkamuajipu, mtoboa siri, da womanizer, chriss mambo, bacha, hashycool umalizie na the boss naomba majibu baada ya wiki
....thatha Maty, hao wote wakiwa wanafaa, utawamudu wote mamito?

mkaka mzuri
anafaa kula kabisaaa:laugh::laugh:
...anafaa KUKULA au ana faa KULA?
 
View attachment 22536

yupo aliye fit namna hii????nimeona mahali kuna BABU humu wa kukagua sijui matiti ya wadada kwa ajili ya wapwazzz wa kiume.....jamani mie najitolea kuwa BIBI wa kukagua wakakazzzzzzzzz kwa wadada wa JF....:msela::msela::msela::hungry::hungry:😛eace:

Dume la ukweli ci urijali...Dume la ukweli watoto wapate ugali...mwli watengenezwa kwa kupiga kazi si vyuma vya kichina na kuaanika majukwaani...
 
Dume la ukweli ci urijali...Dume la ukweli watoto wapate ugali...mwli watengenezwa kwa kupiga kazi si vyuma vya kichina na kuaanika majukwaani...

Kuna wenye kuleta ugali na bado wana body zinazoeleweka na marijali na wanapiga kazi mtindo mmoja,kazi ni kazi mradi uweze kulisha familia na kujikimu mwenyewe!!
 
Dume la ukweli ci urijali...Dume la ukweli watoto wapate ugali...mwli watengenezwa kwa kupiga kazi si vyuma vya kichina na kuaanika majukwaani...
Mama wa kwanza amesema yeye haangalii mwili anaangalia kama mashine inasaga na kukoboa kwa spidi ya 120Kph
 
Kila la heri Bibi mkaguzi... Lakini ukikagua kuwa na mipaka maana vingine havikaguliki
 
Me too usijali bana yale mambo ya kawaida what's up unajua mimi kukukosa wewe najisikia kuumwa kabisa u can imagine nimeugua mafua sababu yako l.o.l

Mambo yapi tena wangu?
Pole kwa mafua,una tatizo fulani hivi!!!!
 
Back
Top Bottom