Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
Except weupe....
Sijaiona hii comment napita tu jameni habari ya asubuhi mama wa kwanzahahaha...rangi haihusiki hapa ingawa weupe wengi ni wajaza upepo,si unajua tena wanavyopenda kuuza sura,chuma lazima wabebe
Sijaiona hii comment napita tu jameni habari ya asubuhi mama wa kwanza
ushamegwa tiyari waonekana.....Baadhi ya wachache niwajuao wapo hivyo!
ushamegwa tiyari waonekana.....
...I'am watching you.........!Masaa yote wamekaa chini wakisurf jf mpaka saa nane usiku mazoezi watafanya saa ngapi ili wawe hivyo? Labda wale wa asubuhi mpaka saa kumi then mazoezini
....thatha Maty, hao wote wakiwa wanafaa, utawamudu wote mamito?Naomba unikagulie nguli jabali, klorokwini, cpu, akili unazo, bujibuji, mkamuajipu, mtoboa siri, da womanizer, chriss mambo, bacha, hashycool umalizie na the boss naomba majibu baada ya wiki
...anafaa KUKULA au ana faa KULA?mkaka mzuri
anafaa kula kabisaaa:laugh::laugh:
View attachment 22536
yupo aliye fit namna hii????nimeona mahali kuna BABU humu wa kukagua sijui matiti ya wadada kwa ajili ya wapwazzz wa kiume.....jamani mie najitolea kuwa BIBI wa kukagua wakakazzzzzzzzz kwa wadada wa JF....:msela::msela::msela::hungry::hungry:😛eace:
Dume la ukweli ci urijali...Dume la ukweli watoto wapate ugali...mwli watengenezwa kwa kupiga kazi si vyuma vya kichina na kuaanika majukwaani...
Aiseee ni aje habari yako binafsiHabari yako kijana?
Unamaanisha kuliwa???mkaka mzuri
anafaa kula kabisaaa:laugh::laugh:
Mama wa kwanza amesema yeye haangalii mwili anaangalia kama mashine inasaga na kukoboa kwa spidi ya 120KphDume la ukweli ci urijali...Dume la ukweli watoto wapate ugali...mwli watengenezwa kwa kupiga kazi si vyuma vya kichina na kuaanika majukwaani...
Aiseee ni aje habari yako binafsi
Unamaanisha kuliwa???
Me too usijali bana yale mambo ya kawaida what's up unajua mimi kukukosa wewe najisikia kuumwa kabisa u can imagine nimeugua mafua sababu yako l.o.lNzuri,nafurahi kukuona tena!
Me too usijali bana yale mambo ya kawaida what's up unajua mimi kukukosa wewe najisikia kuumwa kabisa u can imagine nimeugua mafua sababu yako l.o.l
Lipi hilo??Mambo yapi tena wangu?
Pole kwa mafua,una tatizo fulani hivi!!!!