Wanasheria naomba msaada wenu wa kisheria, kuna binti amejinyonga mpaka kufa na ameandika kikaratasi kinachosomeka hivi ''nimeamua kujinyonga maana kijana ninaempenda (alitaja jina langu) yeye hanitaki na hataki kabisa kusikia jina langu, nimeona bora nife kuliko kuendelea kuishi na kumuona akiwa na msichana mwingine!'' Hapa sijielewi maana nasikia polisi wananitafuta tafadhari naomba msaada wa kisheria kosa langu ni nini hapa?
Wanasheria naomba msaada wenu wa kisheria, kuna binti amejinyonga mpaka kufa na ameandika kikaratasi kinachosomeka hivi ''nimeamua kujinyonga maana kijana ninaempenda (alitaja jina langu) yeye hanitaki na hataki kabisa kusikia jina langu, nimeona bora nife kuliko kuendelea kuishi na kumuona akiwa na msichana mwingine!'' Hapa sijielewi maana nasikia polisi wananitafuta tafadhari naomba msaada wa kisheria kosa langu ni nini hapa?[/QUOTE
Ngoja waje wataalamu, ila kwa mwendo wa sheria za kingese za bongo kama zinazosema ukitumiwa ujumbe na wewe una hatia hawachelewi kukushtaki kwa kosa la kuwa mzuri hadi ukapelekea kupendwa na huyo binti. We ngoja
Uliwah kua na mahusiano nae.??
Unatakiwa ukaisaidie Polisi ....usiniulize utaisaidiaje kwa kuwa wewe hukupita depo!
Wanasheria naomba msaada wenu wa kisheria, kuna binti amejinyonga mpaka kufa na ameandika kikaratasi kinachosomeka hivi ''nimeamua kujinyonga maana kijana ninaempenda (alitaja jina langu) yeye hanitaki na hataki kabisa kusikia jina langu, nimeona bora nife kuliko kuendelea kuishi na kumuona akiwa na msichana mwingine!'' Hapa sijielewi maana nasikia polisi wananitafuta tafadhari naomba msaada wa kisheria kosa langu ni nini hapa?[/QUOTE
Ngoja waje wataalamu, ila kwa mwendo wa sheria za kingese za bongo kama zinazosema ukitumiwa ujumbe na wewe una hatia hawachelewi kukushtaki kwa kosa la kuwa mzuri hadi ukapelekea kupendwa na huyo binti. We ngoja
Mpaka ushtakiwe kuna vitu viwili hasa huwa vinaangaliwa n Actus reus and Mens rea, sasa kama haukuwa na guilty mind wala haukufanya act iliyopelekea kifo cha deceased ki vipi uwe liable.? May be kama kuna other facts ambazo hujazisema but kwa hizo hapo on post you are not in for it..! Swala la police wasikuumize kichwa wasikilize tuu but hata wafanyenye hawatawa na power ya kukufanya uwe na "prema facie case"
Wanasheria naomba msaada wenu wa kisheria, kuna binti amejinyonga mpaka kufa na ameandika kikaratasi kinachosomeka hivi ''nimeamua kujinyonga maana kijana ninaempenda (alitaja jina langu) yeye hanitaki na hataki kabisa kusikia jina langu, nimeona bora nife kuliko kuendelea kuishi na kumuona akiwa na msichana mwingine!'' Hapa sijielewi maana nasikia polisi wananitafuta tafadhari naomba msaada wa kisheria kosa langu ni nini hapa?
hapo hamna kesi mzee. isipokuwa kama ikitokea pale kitaa ndugu wa marehemu au marafiki wakawa wanakumind kutaka kulipiza kisasi kwa kukumaliza na wewe, polisi wanaweza kukuchukua wakakuweke mahali pa usalama tu kule lock up, wakijifanya unasaidia upelelezi au pengine hata kukufungulia shitaka la kuua, wakiona hali imetulia tu wanapeleka jalada kwa mwanasheria mkuu wa serikali haraka na kuondoa kesi kwa nolle.Wanasheria naomba msaada wenu wa kisheria, kuna binti amejinyonga mpaka kufa na ameandika kikaratasi kinachosomeka hivi ''nimeamua kujinyonga maana kijana ninaempenda (alitaja jina langu) yeye hanitaki na hataki kabisa kusikia jina langu, nimeona bora nife kuliko kuendelea kuishi na kumuona akiwa na msichana mwingine!'' Hapa sijielewi maana nasikia polisi wananitafuta tafadhari naomba msaada wa kisheria kosa langu ni nini hapa?
mkuu hakuna cha zaidi! Yule dada alikuwa ni best yng sn kwa muda mrefu wala sikuwahi kumtongoza ila watu wengi walijua ni mpenzi wangu! Kwa sasa sipo huko nyumbani ila wakati naondoka nilimwambia kuwa naenda kutambulishwa ukweni ila nilikuwa nikimtania.
Amechukua uamuzi huo mimi nikiwa sipo na nimeshituka sana! Lkn hata watu wa nyumbani wananipigia simu wakinilaumu kuwa sijafanya vzr sasa hawa ndo wananifanya nione km dunia inanizomea na ninajiona km nipo mikononi mwa polisi na sina mtetezi.
Nasikia polisi walimchukua best yng pamoja na marafiki wa huyo binti wakawahoji wakawaachia na sasa natafutwa mimi ila hofu yng hawa jamaa wanaweza wakanitia hatiani coz sijui kabisa sheria!
Mi nitoe pole kwako na kama nikweli Mungu amlaze pema huyo dada,nimejaribu kuvaa hisia alizokua nazo roho imeniuma sana ila basi tu.
Huko polisi watakupelekesha lakini hautakuwa na hatia na jambo hilo lakini utasumbuka kidogo. Mungu akutie nguvu kaka.
hapo hamna kesi mzee. isipokuwa kama ikitokea pale kitaa ndugu wa marehemu au marafiki wakawa wanakumind kutaka kulipiza kisasi kwa kukumaliza na wewe, polisi wanaweza kukuchukua wakakuweke mahali pa usalama tu kule lock up, wakijifanya unasaidia upelelezi au pengine hata kukufungulia shitaka la kuua, wakiona hali imetulia tu wanapeleka jalada kwa mwanasheria mkuu wa serikali haraka na kuondoa kesi kwa nolle.
binti amejiua yeye, wewe una kosa gani? hata kama ulikuwa na mahusiano naye, na mko 18 years, kwani mapenzi si hiari? sio lazima, unaweza kumpenda mtu ikafika kipindi unaamua kumuacha labda umependa mwingine, ni hiari ya mtu kama uyo binti atajiua amejiua yeye wewe huna malice aforethouth yeyote kichwani wakati ule unamuacha kwamba laba "namuacha ili afe" etc, kitendo chako hakijaungana na nia yako hadi kutengeneza kosa hivyo hapo hauna kosa na polisi hawatakukamata kabisa, na ikiwezekana nenda kajisalimishe utoe maelezo hayo ili kesi ife mapemaaa (kama kweli wanakutafuta).
Ili ubainike na kosa sheria inaangalia kitendo na nia ya mtuhumiwa, Kama wakakuhoji na wakagndua ilikuwa huna nia basi upo salama, na kwenye kitendo huko ondoa waiwasi,
Wewe mtu wa iringa?
Ukihojiwa na Kova ..umekwisha...atakufungulia kosa la Panya Road