Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Puchu anastyle gani? Lavalava ana style gani? Acha majungu Enjoy mziki mzuri wa bila matusi toka kwa Kijana Ibra tzmarioo copy, ilipendeza angekuja na style yake mpya kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Puchu anastyle gani? Lavalava ana style gani? Acha majungu Enjoy mziki mzuri wa bila matusi toka kwa Kijana Ibra tzmarioo copy, ilipendeza angekuja na style yake mpya kabisa
Itupie bossNinaisikiliza nyimbo yake sasaivi inaitwa "Nimekubali" aisee huyu kijana ni mtunzi mzuri sana na atakuja kutesa sana.
Ni nyimbo yenye mahadhi ya taratibu na uwezo wake wa kuimba anafanana na Marioo. Nakushauri pitia kusikiliza kipaji kipya mjini hutojutia aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uimbaji wa Ibra tz hauna tofauti na IbrahnationWasanii wengi sana wakali bongo hii.
Kuna kina Ibra nation, Foby, Rini Marii, Aba process ana vitu vyake ni balaa zito.
.
Tatizo ni consistency tu acha tumpe time
Utaingizwa Bedroom na konde mjeshiMkuu konde Gang wamejipanga Enjoy Mziki mzuri wa bila matusi toka kwa Vijana
Hakika
Na yeye akaroge kama unaona uchawi ndio unaomshainisha simbaTatizo kubwa Konde boy anarogwa na Diamond.