Hivi Harmonize kachukua Tuzo ya MTV au hajachukua?

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
908
Reaction score
1,350
Wakuu Habari. Hope mu wazima.

Wakuu naona habari zinazo-trend Social Media ni kuhusu Wasafi Festival tu. Hasa ujio wa Wizkid, Innosb, Tiwa Savage nk

Upande wa pili Cloud's na EFM kumepoa sana na hata team kondeboy. Na walikuwa wanapromo kubwa sana ya kumpigia kura kondeboy huko MTV Awards

Kondeboy tangu akiwa WCB alikuwa na mkosi wa kutochukua tuzo na hajawahi chukua tuzo yoyote chini ya jua, kama kachukua basi hii itakuwa ya kwanza.

Na pongezi za dhati zitawaendea Cloud's na EFM kwa kuonyesha ukongwe wao katika promotion hapa Tz.

Ila ukimya wao na kupoa kwao sijajua kulikoni. Kashinda tuzo ya MTV au hajashinda hio tuzo?
 
Wazee wa kamati ya roho ya kinyongolilo .
 
Tatizo upande wa pili hawajui manuever ya mziki, japo ni wazur kwenye promo
 
Kwani zile za AFRIMMA za kipindi kile kabeba zilikuwa ni nini ?
 
Kilauzi wanapiga ule wimbo wa UNO,sasa kuna kipande Dogo Konde ameimba UNO LA CHIIIBU ,CHIBU LINAMPAGAWISHA ZARI.Wajinga wamepavalagiza husikii hiyo kitu CHIBU,,CHIBU....Sasa hii ni Akili au topetope tu
 
Hao Cloud's wamekuwa vituko jamaa diamond anawajambisha sana kwa fujo anazozifanya mjini,wao wanasahaulika na watu,mioyo yao inauma sana.
 
Kilauzi wanapiga ule wimbo wa UNO,sasa kuna kipande Dogo Konde ameimba UNO LA CHIIIBU ,CHIBU LINAMPAGAWISHA ZARI.Wajinga wamepavalagiza husikii hiyo kitu CHIBU,,CHIBU....Sasa hii ni Akili au topetope tu
"Uno la Chq**%=+₩€Linamkondesha zari",,Pia Freestyle volume2 ya Young Lunya pale kachana,"Niliongea na simba nikamwambia awakanyagie'Kanyaga'",,Yaani ile simba na kanyaga wamezi'mute hahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…