Nedago
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 908
- 1,350
Wakuu Habari. Hope mu wazima.
Wakuu naona habari zinazo-trend Social Media ni kuhusu Wasafi Festival tu. Hasa ujio wa Wizkid, Innosb, Tiwa Savage nk
Upande wa pili Cloud's na EFM kumepoa sana na hata team kondeboy. Na walikuwa wanapromo kubwa sana ya kumpigia kura kondeboy huko MTV Awards
Kondeboy tangu akiwa WCB alikuwa na mkosi wa kutochukua tuzo na hajawahi chukua tuzo yoyote chini ya jua, kama kachukua basi hii itakuwa ya kwanza.
Na pongezi za dhati zitawaendea Cloud's na EFM kwa kuonyesha ukongwe wao katika promotion hapa Tz.
Ila ukimya wao na kupoa kwao sijajua kulikoni. Kashinda tuzo ya MTV au hajashinda hio tuzo?