Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Si unajua tena mambo ya u team fulani hayo!!!anasahau kuwa hata team yake kuna kipindi alikuwa anavaa sana, hadi akaitwa na wenyewe!!Umeandika kwa chuki sana japo unaweza ukawa na point.
Labda anayo ruhusa maalum anapo perform.
Angekuwa anavunja sheria hata wewe husingepata nafasi ya kuandika haya uliyo yaandika maana angeshakamatwa kitambo na wenye mavazi yaoNimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi...
Vipi na bunduki unaruhusiwa kuomba kibali kuitumia?Huwa yanaombwa kibali unalipia mfano ukiwa mwigizaji unataka kuigiza kama polisi unaomba kibali unapewa uniform unatumia chini ya usimamizi ukimaliza unarejesha
Vipi kama yuko nje ya Tz ambako hawajali hayo mambo?!Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi.
Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya?
Ni mara kadhaa tumeshuhudia watu walikutwa na hizi nguo mtaani wanakamatwa, lakini kwa huyu Makonde vipi tena?
Ukiunga mkono juhudi cha chama kilichishika hatamu na Jiwe hata wanajeshi wataogopa kukusumbua, huo ndio ukweliNimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi...
Watu wengi tuu wanamiliki bunduki kihalali na Wana vibali kuwaruhusu kutumia.Vipi na bunduki unaruhusiwa kuomba kibali kuitumia?
Sema ni vile masaa yote yuko ndani ya AC kwenye ndinga hawakutani .Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi....
Nadhani wewe hujawahi hata kutumikia Scout hapa nchini.Huwa yanaombwa kibali unalipia mfano ukiwa mwigizaji unataka kuigiza kama polisi unaomba kibali unapewa uniform unatumia chini ya usimamizi ukimaliza unarejesha
Ni mjeshi kikosi cha mtwaraNimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi.
Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya?
Ni mara kadhaa tumeshuhudia watu walikutwa na hizi nguo mtaani wanakamatwa, lakini kwa huyu Makonde vipi tena?
Halafu ikawaje?Kwahiyo tukamkamate?
Mimi waliwahi niambia nivue shati hlafu nilichane na meno
Nikagoma ..walinipa vitisho still niligoma