Hivi Harmonize ni mwanajeshi wa kikosi gani hadi avae nguo za jeshi, anaogopwa?

Hivi Harmonize ni mwanajeshi wa kikosi gani hadi avae nguo za jeshi, anaogopwa?

Nchi yetu ilipofikia sidhani kama kuna haja ya kuendelea kumsumbua mtu ambaye amevaa kombati ambayo ikiangaliwa tu inaonyesha siyo ya nyumbani.

Kuna zile utakuta zina nembo ya usarmy au rangi ni nyeusi na light green ambazo zipo sana mitumbani ila ukizivaa ni kesi.
 
Camouflage siyo ya Tz hiyo labda kama nina colour blindness hizo labda za interahamwe huko.
 
Mitumba mzee hiyo tunayo wengi tuu

Kama mitumba sasa kuna shida gani hapo kwa mtoa mada? Mimi mwenyewe nina Mapensi kama matatu ya Jeshi nilinunua mtumbani ila siyavai nikitembea mtaani maana hawa jamaa zetu stress za maisha wanaweza kukuaibisha wakati hata sio jezi zao.

Huwa navaa nikiwa ndani ya kokoteni(uchawi wa kizungu) au nikiwa home ndani.
 
Nawashangaaga sana yaani wanatukamata wavaaji

Kwanini wasianze kuwakamata wauzaji maana wao wanaziuza deile yaani
Walishwahi kunj tagert bar
Nikwaambia nakaa kwa kanali Alli wakaniacha
 
Watu wengi tuu wanamiliki bunduki kihalali na Wana vibali kuwaruhusu kutumia.
Sujakuuliza wewe na kihere here chako,unapenda sana kurukia mambo angalia usije rukia tren kwa mbele wataokota vipande vipande
 
Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi.

Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya?

Ni mara kadhaa tumeshuhudia watu walikutwa na hizi nguo mtaani wanakamatwa, lakini kwa huyu Makonde vipi tena?
Kama ni real Uniform za TPDF nadhani Hoja yako itakuwa na Mashiko na kuhitaji Mjadala zaidi ila kama ni just camouflage Uniform haina tatizo sana na hasa kwa Msanii kama Yeye ambaye huenda anazitumia Kiusanii tu.
 
Walinitisha sana mikwara ilikuwa town center kabisa watu wengi halafu wakawa wananisapoti
Nikagundua jamaa wana kama Xmas 2 toka waanze kazi

Hata kuchuchumaa niligoma japo kamoyo kalikuwa kanadunda sana

Wakaniacha nikasepa shati nilinunua jingine pembeni

Kumbe tukiwaacha mnakuwa viburi badala ya kujifunza! Ole wako tukutane siku nyingine.
 
Kumbe tukiwaacha mnakuwa viburi badala ya kujifunza! Ole wako tukutane siku nyingine.
Kawakamate wauzajj kwanza mbona mtukamate wavaaji halafu ukute ni rangi tu havifanani.

Vijana wenye pasaka mbili huko jeshini mnaona kama vile nchi yenu
 
Walinitisha sana mikwara ilikuwa town center kabisa watu wengi halafu wakawa wananisapoti
Nikagundua jamaa wana kama Xmas 2 toka waanze kazi

Hata kuchuchumaa niligoma japo kamoyo kalikuwa kanadunda sana

Wakaniacha nikasepa shati nilinunua jingine pembeni
Hapo uliwapatia sana.
Sema ingekuwa maeneo ya karibu na kambini kwao wangeita wenzao wakuburuzie kambini kule wanapata kiki kwa kampani ya wengi.
Ila wakiwa wachache au ikiwa mbali na kambini huwa hawana ujanja
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wewe jamaa umenichekesha sana.
Sasa kuna raha gani ya kununua nguo ambayo ukiivaa hadi ujifiche
Kama mitumba sasa kuna shida gani hapo kwa mtoa mada? Mimi mwenyewe nina Mapensi kama matatu ya Jeshi nilinunua mtumbani ila siyavai nikitembea mtaani maana hawa jamaa zetu stress za maisha wanaweza kukuaibisha wakati hata sio jezi zao.

Huwa navaa nikiwa ndani ya kokoteni(uchawi wa kizungu) au nikiwa home ndani.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wewe jamaa umenichekesha sana.
Sasa kuna raha gani ya kununua nguo ambayo ukiivaa hadi ujifiche

Nilinunua bei rahisi Buku 5 pensi ,halafu mkoani hakuna upuuzi kama wa Dar wa kuzinguliwa na WAJEDA.
 
Back
Top Bottom