Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
Walinitisha sana mikwara ilikuwa town center kabisa watu wengi halafu wakawa wananisapotiHalafu ikawaje?
Mitumba mzee hiyo tunayo wengi tuuNi orijino(za TZ) hizo au ni zile zinazouzwa kwenye mitumba?
Mi ninayo hapa....kibali ninacho piaVipi na bunduki unaruhusiwa kuomba kibali kuitumia?
Mitumba mzee hiyo tunayo wengi tuu
Nawashangaaga sana yaani wanatukamata wavaajiKama mitumba sasa kuna shida gani hapo kwa mtoa mada? Mimi mwenyewe nina Mapensi kama matatu ya Jeshi nilinunua mtumbani ila siyavai nikitembea mtaani maana hawa jamaa zetu stress za maisha wanaweza kukuaibisha wakati hata sio jezi zao.
Huwa navaa nikiwa ndani ya kokoteni(uchawi wa kizungu) au nikiwa home ndani.
Ndiyo kuna ukweli katika hiliUkiunga mkono juhudi cha chama kilichishika hatamu na Jiwe hata wanajeshi wataogopa kukusumbua, huo ndio ukweli
Sujakuuliza wewe na kihere here chako,unapenda sana kurukia mambo angalia usije rukia tren kwa mbele wataokota vipande vipandeWatu wengi tuu wanamiliki bunduki kihalali na Wana vibali kuwaruhusu kutumia.
Hongera sana kwa kumiliki hiyo banduki,ila kwa niliye muuliza nafikiri alijua kwanini nimemuuliza swali kama hilo.Mi ninayo hapa....kibali ninacho pia
Kama ni real Uniform za TPDF nadhani Hoja yako itakuwa na Mashiko na kuhitaji Mjadala zaidi ila kama ni just camouflage Uniform haina tatizo sana na hasa kwa Msanii kama Yeye ambaye huenda anazitumia Kiusanii tu.Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi.
Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya?
Ni mara kadhaa tumeshuhudia watu walikutwa na hizi nguo mtaani wanakamatwa, lakini kwa huyu Makonde vipi tena?
Sio Nguo za Jeshi.Ni orijino(za TZ) hizo au ni zile zinazouzwa kwenye mitumba?
Walinitisha sana mikwara ilikuwa town center kabisa watu wengi halafu wakawa wananisapoti
Nikagundua jamaa wana kama Xmas 2 toka waanze kazi
Hata kuchuchumaa niligoma japo kamoyo kalikuwa kanadunda sana
Wakaniacha nikasepa shati nilinunua jingine pembeni
Kawakamate wauzajj kwanza mbona mtukamate wavaaji halafu ukute ni rangi tu havifanani.Kumbe tukiwaacha mnakuwa viburi badala ya kujifunza! Ole wako tukutane siku nyingine.
Hapo uliwapatia sana.Walinitisha sana mikwara ilikuwa town center kabisa watu wengi halafu wakawa wananisapoti
Nikagundua jamaa wana kama Xmas 2 toka waanze kazi
Hata kuchuchumaa niligoma japo kamoyo kalikuwa kanadunda sana
Wakaniacha nikasepa shati nilinunua jingine pembeni
Kama mitumba sasa kuna shida gani hapo kwa mtoa mada? Mimi mwenyewe nina Mapensi kama matatu ya Jeshi nilinunua mtumbani ila siyavai nikitembea mtaani maana hawa jamaa zetu stress za maisha wanaweza kukuaibisha wakati hata sio jezi zao.
Huwa navaa nikiwa ndani ya kokoteni(uchawi wa kizungu) au nikiwa home ndani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wewe jamaa umenichekesha sana.
Sasa kuna raha gani ya kununua nguo ambayo ukiivaa hadi ujifiche