Ukiomba kibali kwa kazi fulani inayofahamika inakubalika, huwezi tumia mavazi haya bila kibali utachezea vitasaNimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi....
Kasome tena ile sheria. Yaani hata nguo zinazofanana na za jeshi hairuhusiwi.Kama ni real Uniform za TPDF nadhani Hoja yako itakuwa na Mashiko na kuhitaji Mjadala zaidi ila kama ni just camouflage Uniform haina tatizo sana na hasa kwa Msanii kama Yeye ambaye huenda anazitumia Kiusanii tu.
Hakuna kitu km hicho bongoHuwa yanaombwa kibali unalipia mfano ukiwa mwigizaji unataka kuigiza kama polisi unaomba kibali unapewa uniform unatumia chini ya usimamizi ukimaliza unarejesha
Nawe pia Kasome Kanuni za Kisanii na Wasanii hasa pale wawapo Kazini ( hasa Kimaigizo ) yao nadhani unaweza Kuelewa zaidi. Mimi si Team Harmonize na simkumbali ila katika hili naona tunataka kutengeneza taswira ya Kisiasa na Chuki zetu ya Vyama kuwa anapendelewa kwakuwa tu anakubalika na Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli na Chama chake cha CCM.Kasome tena ile sheria. Yaani hata nguo zinazofanana na za jeshi hairuhusiwi.
Kawakamate wauzajj kwanza mbona mtukamate wavaaji halafu ukute ni rangi tu havifanani.
Vijana wenye pasaka mbili huko jeshini mnaona kama vile nchi yenu
Ukirudisha kumbukumbu nyuma, kisa cha kuzuia nguo, zinazofanana na za jeshi kuvaliwa ni kila mtu, na miaka ujambazi ulishamili sana, huku waharifu wakitumia mavazi ya jeshi, au yanayofanana nayo.Nawashangaaga sana yaani wanatukamata wavaaji
Kwanini wasianze kuwakamata wauzaji maana wao wanaziuza deile yaani
Walishwahi kunj tagert bar
Nikwaambia nakaa kwa kanali Alli wakaniacha
Sheria ya mwaka gani kavunja?Japo anazivalia chumbani, sema kwa hiyo picha ameshavunja sheria hata kama kosa kalitendea chumbani kwake.