Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Hivi hatuwezi kucheza upatu hapa JF jamani, yaani kila siku awe analipwa mtu mmoja hvi, kwa vocha, mpesa, tgopesa nk...coz naona maisha yanazidi kubana,na jk mwenyewe haeleweki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agreed
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mkono hoja naunga!
Michango ya kwanza mwanipa mimi.
Mie nitakuwa Kijumbe wenu.
Nianze kutoa namba yangu ya simu ili mtume pesa?
Toa namba dada mi ndo ntakuwa mtunza hazina nitakupendelea kwa kukupa mara mbili katika ya round moja
Mie nitakuwa Kijumbe wenu.
Nianze kutoa namba yangu ya simu ili mtume pesa?
Mwe!! Upatu ndiyo mchezo gani tena wajameni?
Nikupe Tigo au we unatumia nini?
Nikupe Tigo au we unatumia nini?
umeniwahi!!!!!!!!!!
na nilihisi tuuuu!!! ila utakufaa ukijumbe!!!!