Hivi hatuwezi kucheza upatu hapa JF jamani?

Hivi hatuwezi kucheza upatu hapa JF jamani?

Mkianzisha desi mniambie.........napenda sana kupanda mbegu......
 
Hahaha Paloma.
Hv upo kweli mpenzi!
Mie nautaka kweli huo ukijumbe, sijawaingiza chaka watu mda mrefu.

Afu nimeongea na yule mdau mwenzetu, lile sheshe ni April.
Rejea safari ya Mbezi toka kwenye upishi wa mandazi.

nipo dear1 poa mie nipo nimejaa tele kam pishi la tembele..........bi kijumbe!
 
Imani yangu haba.simuamini mtu
Ni wazo zuri sana sema uaminifu hasa wale wenzetu gambas watasepa na mchuzi wote. Watu laki moja wakichanga elfu kumi ni sh. Ni billion.Acha tufanye 1000 tu tuone kama hujapata mil.mia moja
 
Hahaha hayo maneno naomba sosoliso ​asiyaone tu...lol!

hahahahhaaaaaa hana neno mehbuba wangu!!! iyo ni ndoto tuuu..........afu nimepotesa kila kitu chako ujue!!! ntakuibukia faraghani!!!

btw mie na sosoliso hata ije machine gani zaidi ya zile za strabag hang'oki mtu!!!:A S-heart-2:
 
Last edited by a moderator:
honey ndio nishawashtukia
hawajanipata badoooo!
mi sijambo sijui wewe!
 
Back
Top Bottom