Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,555
- 2,216
ah kudadekiTatizo vita ya Ukraine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ah kudadekiTatizo vita ya Ukraine
Basi sawa, mimi sijawahi kupitilia siku mbili kifurushi kikikataNi kawaida ya dstv kifurushi kikikata wanapunguza channel chache chache kwa muda flani.
Huenda wewe huwa unalipia mapema kikikata. Ila ukikaa kitambo kidogo zinafurushwa zote unabaki na tbc na matangazo.
Nipe maelekezo vizuri hapa mkongwe!nunua dishi la free to air wala hautalipia hata senti au nunua decoda ya canal+ bei zao kitonga na unaona ligi zote za ulaya na movies za kutosha kwa 30000 tu ila lugha kifaransa
Tuelimishe vizuri. Hii huduma inapatikanajeNunua external GB 500 weka movie nunua deki ya CD nunua bongo movie ila ukitaka DSTV toa pesa upate uduma lawama haita saidia
Pole chief!!!Leo Dstv wamenikomesha.kifurushi changu cha compact plus ilikuwa kiishe tarehe 23/04/2022, nimerudi nyumbani nakuta wamenikatia, nikawapigia mara 4 wote wanashangaa kwanini nimekatiwa, funny enough, the last idiot I contacted told me that they have realised their mistake and that the service will be restored within 24 hours, the other previous three idiots told me to leave my decoder on, promising that the service will be restored. six hours have passed still disconnected. I am now planning to visit viand umiza to watch Chelsea/arsenal game.
I will never forget these dstv idiots
nunua dishi la free to air wala hautalipia hata senti au nunua decoda ya canal+ bei zao kitonga na unaona ligi zote za ulaya na movies za kutosha kwa 30000 tu ila lugha kifaransa
Cha muvies unakipataje ?Mimi huwa nalipia kifurushi cha Elf 21, then nalipia na Movies elf 25
Au nalipia kifurushi cha elf 9 then nalipia na movies elf 15
Maana sababu kubwa iliyonifanya nifunge DSTV Ghetto ni kuangalia Movies tu
Tozo, tozo, tozo🙄Salaam WanaJF!
Hivi hawa jamaa wa DSTV (Multichoice) wanatuchukuliaje Watanzania!? Kwamba wanatuchukulia tupo vizuri sana kiuchumi, ama wanatuchukulia sisi washamba sana au inakuwaje!?
Kila siku wanafanya kuzichezesha chaneli zao ndani ya DSTV, sio kitu cha ajabu kukuta chaneli yako pendwa imehamishiwa katika kifurushi kingine ambacho ni cha gharama zaidi.
Yaani Kifurushi cha COMPACT ambacho tunalipia Tsh 50000+ kwa mwezi nacho kimeshakuwa useless, chaneli pendwa wamezisogeza kwenye kifurushi cha COMPACT plus ambacho unatakiwa kulipia Tsh 90000+ kwa mwezi.
Huu ni utapeli kwa Watanzania, sijui mnatuchukuliaje DSTV!!?