Sawa..tafuta kampuni ya kuaminikaMjini wengi wanajenga kwa mikopo ndio maana kuna Morgage finances, so na hawa ni construction company wamekuja na some sort of financing so kufanya due dilligence ni nzuri mkuu
Sahihi ndio maana nataka kuona kama kuna watu wowote wamefanya kazi na kampuni hii watupe veiw zao pia kwa upande waoKuhusu uhalali (legitimacy) matapeli wameendelea sana siku hizi, kumbuka deci? Kalynda? Mr kuku? Sijui mradi wa vanilla, no miradi ilisajiliwa kabisa kama kalynda ilikua inatangazwa na itv Kila siku ila walitukunyuga vizuri tu!
We mtu kama Lowasa alikua kwenye skendo kubwa kabisa escrow na kina tibaijuka Kisha somehow akaja kua mgombea rais na watu wakamsapoti kweli kweli we huogopi? hiyo ndo bongoland.