Hivi hawa Heslb wana nn?

Hivi hawa Heslb wana nn?

mwakapalila

New Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
4
Reaction score
0
yapata mwezi sasa tangu wanafunzi walokua hawana mkopo na kukubaliwa kupewa mkopo walipo ambiwa wapeleke acount number zao mpaka leo hawaja pewa pesa zao na maisha yamekua magumu kwao, sasa tunashndwa kuelewa tatizo ni nini? hizo pesa zmekwamia wapi?
 
Back
Top Bottom