PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Hawa masela ni watu maarufu sana nchini Madagascar.
Kuna wakati katika mishe zao walipata kusafiri kikazi kwenda nchini Puerto Rico. Wakiwa huko wakapata fursa ya kukutana na jamaa fulani aitwaye Pumzi Baba.
Walipoenda kukutana na mwamba, aliwakaribisha moja kwa moja chumbani, wakafanya mambo yao huko ambayo waliporudi nchini Madagascar walidai mambo waliyoyafanya yanalindwa na sheria za faragha pia za maadili.
Juzi kati kuna msala umemdondokea Pumzi Baba, inasemekana amekuwa na tabia ya kusaidia watu lakini kwanza lazima ajilipe chake mapema.
Baada ya hiyo scandal, mitandao ya kijamii nchini Madagascar ikatawaliwa na gumzo na maswali. Jamaa wakalazimika kujitetea lakini katika utetezi wao wanatofautiana pakubwa sana ni kama wanatunga stori.
Mmoja akadai waliyoyafanyanya hayafai ku post
Mwingine akadai Pumzi Baba alipowaita sebuleni wakaangalie movie wao wakahisi hatari wakaamua kukimbia wakimwambia aliyewapeleka kuwa atawaagia kwa jamaa.
Halafu mwingine anasema aliyewapeleka ndiye alienda kuwaambia kuwa mnaitwa sebuleni lakini wao wakagoma na kukimbia. Mwingine anadai walivyoitwa sebuleni, yule aliyewapeleka aliwaambia kimbieni, msiende sebuleni.
Ukiwasikiliza vizuri kwenye maelezo yao utaona kuna mambo yalifanyika ila wao walikatazwa kuchukua picha lakini kulikuwa na mpiga picha maalum wa matokeo yale.
Kinachoniumiza kichwa, inawezekanaje uje nyumbani kwangu, niwakaribishe moja kwa moja kwenye chumba cha mafuta, mnaingia bila hofu, tupige story, halafu tutoke nje kupata upepo baada ya muda niwaite mje sebuleni nyie mkimbie bila hata kuaga? Inaingia akilini kweli? Kwamba chumbani uingie lakini sebuleni ugome? Wewe ni mgeni wangu, nakuita sebuleni unanigomea na kukimbia?
Au walipotoka chumbani kwenye 'Maongezi' yao inawezekana aliwaambia "tutokeni break kidogo, halafu tutaamia kwingine" na kwa kuwa yeye alitangulia sebuleni wakaona round ya pili ya 'Maongezi' haitawezekana hivyo bora wakimbie au wabaki kutatuliwa tena.
Nimejaribu sana kuwaelewa, lakini imeshindikana labda nyie mnaweza mkanisaidia kuelewa.