mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
hao nao wananafasi zao. ila nilitaka kujua tofauti wakati makocha wa kigeni kutoka ulaya hawapo na sasa wakati wapo huku vyanzo vingine kama tff vikiwa constantKwani wao ndio wanadumaza soka?? vipi kuhusu viongozi wengine, TFF, marefarii na wachezaji wenyewe??
So unataka kumaanisha kuwa mifumo mipya ya uchezeshaji timu ndio inadumaza soka au unaongelea kwa nyanja ipihao nao wananafasi zao. ila nilitaka kujua tofauti wakati makocha wa kigeni kutoka ulaya hawapo na sasa wakati wapo huku vyanzo vingine kama tff vikiwa constant
sijui tatizo hasa nini. ila nilitegemea mafanikio kutokana na uwepo ww wataalam wengi kutoka nje.So unataka kumaanisha kuwa mifumo mipya ya uchezeshaji timu ndio inadumaza soka au unaongelea kwa nyanja ipi
Ndio kama hivyo kusaidia kuonesha vipaji vya baadhi ya wachezaji...Kuitangaza club...Kuimarisha mbinu na mifumo mipya ya uchezaji n.ksijui tatizo hasa nini. ila nilitegemea mafanikio kutokana na uwepo ww wataalam wengi kutoka nje.
ila hali inaonekana hakuna tofauti yoyote wakati hawapo na wakati huu wakiwepo.
kwa ufupi nataka kujua, nini mchango wa makocha wa kigeni ktk soka la Tanzania?