hivi hawa makocha wazungu wamesaidiaje kukua kwa soka nchini

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,420
Reaction score
17,735
sio mbenzi nguli wa soka hasa la hapa kwetu...
miaka ya zamani ilikuwa ni ndoto kuona mzungu akifundisha hadi timu za shinyanga au singida.

Kwa maendeleo ya soka na utandawazi hawa jamaa wapo kila kona nchini.

je kwa nini pamoja na uwepo wa wataalamu hawa bado soka limedumaa.?
 
Kwani wao ndio wanadumaza soka?? vipi kuhusu viongozi wengine, TFF, marefarii na wachezaji wenyewe??
hao nao wananafasi zao. ila nilitaka kujua tofauti wakati makocha wa kigeni kutoka ulaya hawapo na sasa wakati wapo huku vyanzo vingine kama tff vikiwa constant
 
So unataka kumaanisha kuwa mifumo mipya ya uchezeshaji timu ndio inadumaza soka au unaongelea kwa nyanja ipi
 
sijui tatizo hasa nini. ila nilitegemea mafanikio kutokana na uwepo ww wataalam wengi kutoka nje.
ila hali inaonekana hakuna tofauti yoyote wakati hawapo na wakati huu wakiwepo.
kwa ufupi nataka kujua, nini mchango wa makocha wa kigeni ktk soka la Tanzania?
 
Ndio kama hivyo kusaidia kuonesha vipaji vya baadhi ya wachezaji...Kuitangaza club...Kuimarisha mbinu na mifumo mipya ya uchezaji n.k

Ngoja wajuzi zaidi waje
 
Back
Top Bottom