Hivi hawa marefari kwenye NBC league Huwa wanatolewa wapi?

Kayoko katumia ujanja wa Corilina mechi za watani wa jadi unabidi refa uzitawale na njia mojawapo ya kutawala mchezo ni kumwaga njugu mapema ili kupunguza mazoea kwa wachezaji.....

Kwangu nampongeza sana kayoko
 
Tunategemea kamati ya massa sabini nambili bila kuchelewa itamwazibu Chama Kwa kitendo chake Cha kumkanyaga Aucho Kwa maksudi bila refa kutoa adhabu yoyote.
 
Refa jana wachezaji wa timu zote mbili walikuwa wanamuhadaa sana kwenye faulo mchezaji akianguka jamaa anaweka faulo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…