Hivi hawa mbwa aina ya Pitbull ni mbwa halisi?

Hivi hawa mbwa aina ya Pitbull ni mbwa halisi?

Hii ni kweli kabisa. Hawa mbwa wanatabia ya kusahau m'miliki na wanaweza kukushambulia maana memory zao huwa zinashake wanapandwa na mashetani wanaanza kushambulia hata watu wasiohusika.
Yeah kweli Mkuu week iliyo pita nimemaliza kuuguza kidonda changu baada ya kung'atwa na Mbwa wangu mwenyewe Yani niliingia ndani gafla akaanza kunishambulia Tena ilikuwa mchana kweupe [emoji1787][emoji1787] nilitaka kumuua lkn nimeamua kumuacha tuu
IMG_20230116_161727_973.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom