Hivi hawa MyKariakoo ni waaminifu?

Hivi hawa MyKariakoo ni waaminifu?

Mi kazi zangu sio nzito kihivyo ni internet tu kupakua na kupakia documents/ pdfs basi....kama Ina changamoto ukinijuza pia ni vizuri..ndio specialization and division of labor....
mpaka hapo basi sina shaka kabisa...bila shaka utakuwa unajua kuwa Chromebook sio laptops tulizozizoea kuzitumia...
 
Back
Top Bottom