Nyakati hizi kuwa mseja kuna manufaa makubwa kuliko kuwa na mahusiano.....
Kutokana na viwango vya uaminifu kuporomoka miongoni mwetu maisha ya furaha na amani vimekuwa vitu adimu kwenye maisha ya mahusiano.......
Kila kukicha yanasikika ya watu walio kwenye mahusiano.....kila mmoja anamlalamikia mwenzie.....matukio ya kuvunjika kwa ndoa yamekuwa ya kawaida kuliko ukawaida wenyewe........walio na mioyo mepesi ya kuhimiri mikiki mikiki hiyo wamejikuta wakijitoa uhai na baadhi wamejikuta wako nyuma ya nondo huko kwenye majengo ya serikali baada ya kichukua maamuzi kulingana na uzito wa maumivu ya moyo.......na wengine wapo njia panda wasijue wachukue maamuzi gani....
Kwa kifupi maamuzi ya maisha ya kimahusiano kuna maanisha kuwa unajipa hukumu ya mateso ya moyo na mawazo yasiyo kwisha.....
NB; ITS BEAUTFULL FEELINGS TO FEEL LOVE......LOVE LOVE LOVE.......