Hivi hawa nao Ni husband material

Shida muhimu akusaidie aliyekuzaa.
Hiv ungekuwa we ni mwanaume umemsaidia demu wako kulipa ada ya chuo miaka mitatu then anakuacha?
 
Kukwama kwa kodi la pango

Hivi Dada unafanya Kazi na still unakuja kulalamika huku uwanjani kuwa unataka ulipiwe kodi ya Nyumba unayoishi Wewe.... Nafikiri nahitaji muda zaidi kuelewa hii concept.....
 
Unakuta jamaa anamuimbia manzi kila siku kuhusu kutaka kumuoa.
Jamaa anagharamia bata zote lakini hayupo tayari kumsaidia demu ake katika shida muhimu ?

Ni kijiswali tu ?
Acha tu nikutoe wasiwasi hakunaga husband material bali wife material tuuu.
 
Hivi Dada unafanya Kazi na still anakuja kulalamika huku uwanjani kuwa unataka ulipiwe kodi ya Nyumba unayoishi Wewe.... Nafikiri nahitaji muda zaidi kuelewa hii concept.....

Mkuu kwani we ni me au ke?
 
Ulifikiria nini katika kuuliza hilo swali hapo juu .....!!!!

Avatar na jina ni kama ke, ila ulivyomjibu ni jibu la kiume, in a sense kwamba akisema anataka pango basi wewe ni mmoja wa wanaoweza kumsaidia.
 
Hivi ninyi wadada wa siku hizi hamuwezi kuzungumzia mapenzi bila kuhusisha au kutaja mambo ya kupenda kuhongwa humo ndani ya stori????
 
Kwamwanaume amefata mapenz shida zake zinawahusu wazaz labda awe yatima...bata atapatiwa no otherwise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…