Hivi hawa RFA wanaokota wapi hawa watangazaji..?

herman joshua

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
1,967
Reaction score
3,212
Nipo nasikiliza kipinda flan hapa home kinachoitwa #weekendfever ninachovutiwa ni mziki tu unaopigwa hapa ila huyu mtangazaji cjajua n kwa nn amefanikiwa kupata kazi/kapewa kipindi na wakati hana hata uwezo wa kujieleza kiasi kwamba hata me ninisiye mtangazaji kwa 90% ninauhakika namfunika alikuwa akielezea movie mpya ya lion king na mmkanganyiko wa wanaafrika mashariki kutokana na kukosa uhusika katika hiyo filam ikiwa kunauhusika wa baadhi ya tamaduni na lugha ya kiswahili ambayo hutumiwa na wanaafrika mashariki tatizo linapo kuja jamaa katumia nusu saa kuelezea na pasipo kueleweka akibaki kujing'atang'ata tu nnachojiuliza je ni kwamba jamaa alipewa kazi sababu ya vyeti vyake or ni nini.? Coz kutangaza hajui kabisaaa.,
 
It doesn't matter what you know, but whom you know.
 
Wafanyakazi wa bure hao lazima wawe wa hovyo tu,.
 
Hakuna sekta nyeti kama utangazaji na uandishi wa habari ila wafanyakazi wengi ni WAPUMBAVU eti hao ndio hutegemewa kulisha jamii chakula cha ubongo.
 
Watangazaji kama hao ukimuuliza vyeti atakuja na begi zima.

jana nimemsikia mmoja kasema "wengi walitamani kombe lichukuliwe na Waafrica lakini ndio hivyo limeenda Algeria".
Ha ha haaaaaaaaaa!
 
Nipo nasikiliza kipinda flan hapa home kinachoitwa #weekendfever ninachovutiwa ni mziki tu unaopigwa hapa ila huyu mtangazaji cjajua n kwa nn amefanikiwa kupata kazi/kapewa kipindi na wakati hana hata uwezo wa kujieleza kiasi kwamba hata me ninisiye mtangazaji kwa 90% ninauhakika namfunika alikuwa akielezea movie mpya ya lion king na mmkanganyiko wa wanaafrika mashariki kutokana na kukosa uhusika katika hiyo filam ikiwa kunauhusika wa baadhi ya tamaduni na lugha ya kiswahili ambayo hutumiwa na wanaafrika mashariki tatizo linapo kuja jamaa katumia nusu saa kuelezea na pasipo kueleweka akibaki kujing'atang'ata tu nnachojiuliza je ni kwamba jamaa alipewa kazi sababu ya vyeti vyake or ni nini.? Coz kutangaza hajui kabisaaa.,
Ila nawe mkuu tutahitaji kukuchunguza aisee! Yaani bado unaweza kuwa na mda wa kusikiliza hyo Radio station kweli?
 
Sikiliza redio za kueleweka mkuu

Hiyo redio kuna watangazaji walikuwa wanadai mishahara karibia ya miezi 14,sasa unategemea nini kwa redio kama hii??
 
Unamzungumzia Mbudu the boss aka"The weekend monster"Hahaha acha kudhihaki kazi za watu wewe.
 
Sikiliza redio za kueleweka mkuu
Hiyo redio kuna watangazaji walikuwa wanadai mishahara karibia ya miezi 14,sasa unategemea nini kwa redio kama hii??
Aisee Dialo analocha sana..nilienda mwezi April nikakuta wafanyakazi wanalala pale nje wameweka na vyandarua kabisa hawataki kuondoka hadi walipwe...Matokeo yake ndo kama haya ya kina Mbudu the boss"The weekend Monster"
 
Algeria ulaya sio hahahahahahah huyo kilaza anapaswa akaishi dunia ya peke yake
Watangazaji kama hao ukimuuliza vyeti atakuja na begi zima.

jana nimemsikia mmoja kasema "wengi walitamani kombe lichukuliwe na Waafrica lakini ndio hivyo limeenda Algeria".
 
Watangazaji kama hao ukimuuliza vyeti atakuja na begi zima.
jana nimemsikia mmoja kasema "wengi walitamani kombe lichukuliwe na Waafrica lakini ndio hivyo limeenda Algeria".
hahaaa ko wa algeria sio wa Afrika
 
Back
Top Bottom