Hivi hawa RFA wanaokota wapi hawa watangazaji..?

Hivi hawa RFA wanaokota wapi hawa watangazaji..?

Nipo nasikiliza kipinda flan hapa home kinachoitwa #weekendfever ninachovutiwa ni mziki tu unaopigwa hapa ila huyu mtangazaji cjajua n kwa nn amefanikiwa kupata kazi/kapewa kipindi na wakati hana hata uwezo wa kujieleza kiasi kwamba hata me ninisiye mtangazaji kwa 90% ninauhakika namfunika alikuwa akielezea movie mpya ya lion king na mmkanganyiko wa wanaafrika mashariki kutokana na kukosa uhusika katika hiyo filam ikiwa kunauhusika wa baadhi ya tamaduni na lugha ya kiswahili ambayo hutumiwa na wanaafrika mashariki tatizo linapo kuja jamaa katumia nusu saa kuelezea na pasipo kueleweka akibaki kujing'atang'ata tu nnachojiuliza je ni kwamba jamaa alipewa kazi sababu ya vyeti vyake or ni nini.? Coz kutangaza hajui kabisaaa.,
Waachie wasukuma radio yao mkuu.
 
Watangazaji kama hao ukimuuliza vyeti atakuja na begi zima.

jana nimemsikia mmoja kasema "wengi walitamani kombe lichukuliwe na Waafrica lakini ndio hivyo limeenda Algeria".
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watangazaji kama hao ukimuuliza vyeti atakuja na begi zima.

jana nimemsikia mmoja kasema "wengi walitamani kombe lichukuliwe na Waafrica lakini ndio hivyo limeenda Algeria".
Ni mpumbavu huyo
 
Asilimia kubwa Bongo media nyingi zina watangazaji wa hovyo sana
 
Back
Top Bottom