smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
As mentioned above, je ni kweli kuwa hawafi bali hutwaliwa? au hupotea? ni nanai kati yetu humu amewahi kuhudhuria mazishi ya albino, mbali na wale wanaofanyiwa ukatili wa kutisha? nimeuliza hili swali Africa kusini yote! jibu ni hawajawahi kushuhudia mazishi ya albino!
Je ni kweli hawawezi kwenda above 40 ki-umri? sasa km nikimpenda wa hivyo si ataniacha mjane mapema? au inakuwaje mlio kwenye mahusiano na hawa watu!
ONYO; Tafadhali wewe na mimi tuwe mstari wa mbele kutokomeza mauaji ya albino Duniani.