As mentioned above, je ni kweli kuwa hawafi bali hutwaliwa? au hupotea? ni nanai kati yetu humu amewahi kuhudhuria mazishi ya albino, mbali na wale wanaofanyiwa ukatili wa kutisha? nimeuliza hili swali Africa kusini yote! jibu ni hawajawahi kushuhudia mazishi ya albino!
Je ni kweli hawawezi kwenda above 40 ki-umri? sasa km nikimpenda wa hivyo si ataniacha mjane mapema? au inakuwaje mlio kwenye mahusiano na hawa watu!
ONYO; Tafadhali wewe na mimi tuwe mstari wa mbele kutokomeza mauaji ya albino Duniani.
Yaani walio wengi hawaivuki miaka 40, siyo wote but walio wengi, either atapotea au kuuawa, hata akiuawa hawapumziki vyema Makaburini, lazima yafukuliwe na watu wenye asili ya nguvu za giza, ili kuchukua viungo vyao vya mwili kwa matumizi mengine!Hawafiki miaka 40 kivipi?
Ungeuliza je umewahi kuona mmasai Albino hapo jibu ungepata hakuna mmasai albino.Yaani walio wengi hawaivuki miaka 40, siyo wote but walio wengi, either atapotea au kuuawa, hata akiuawa hawapumziki vyema Makaburini, lazima yafukuliwe na watu wenye asili ya nguvu za giza, ili kuchukua viungo vyao vya mwili kwa matumizi mengine!
Wewe Muongo sana sijawahi kuona , au lah huelewi unacho zungumza sasa sikia waliosoma ......Albino ni binadamu kama wengine,
sawa mkuuUkimpenda akuoe au ?????
Kwa uchache wao hata kusikia misiba yao ni nadra sana..
Wanaishi na kufariki kama raia wengine,nenda kwa wasafwa huko mbeya utakuta habari zao waliofariki bila kufanyiwa hiyana na binadam kiatu..
Hawafiki miaka 40 kivipi?
Yule msemaji wa timu gani sijui ana umri gani ?
Ulijuaje wana cha kuolea kama hawajakuwowa???....ndo maana unanionea wivu! hata kwa albino!! weye endelea tu kufaidi ...usitie shaka mkuu!...lkn usiwaunganishie pilla la kifo!... make hamuaminiki nyie watu wa Mbeya mjini!!Ukimpenda akuoe au ?????