Hivi Hawa Vidmate ndio wameshashindwa kazi

Hivi Hawa Vidmate ndio wameshashindwa kazi

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Hii kampuni ya kudownload music naona Kila nikidownload inaishia nusu tatizo nini wadau naombeni msaada wenu maana usiku vanny boy anaachia album nataka niamke nayo halafu wananiletea habari nyeusi
 
Attachments

  • Screenshot_20241212-184613.jpg
    Screenshot_20241212-184613.jpg
    143.1 KB · Views: 4
Clear cache alafu ujaribu tena mkuu
 
Nenda kwenye setting ya simu
Kisha nenda kwenye Application managment
Alafu chagua vidmate, ikifunguka nenda kwenye storage alafu bonyeza kibatan cha clear cache
 
Nenda kwenye setting ya simu
Kisha nenda kwenye Application managment
Alafu chagua vidmate, ikifunguka nenda kwenye storage alafu bonyeza kibatan cha clear cache
Nimeshafanya hivyo Amna kitu mkuu
 
Back
Top Bottom