kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Yanga imetoka kushughulikia pisi kali huko Zanzibar, bado hukomi?Yanga hawajielewi ndo maana kila mda wanaikosoa simba badala ya kulijadili litimu lao bovuuu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Pisi kali kupitia penati??Yanga imetoka kushughulikia pisi kali huko Zanzibar, bado hukomi?
Yanga imetoka kushughulikia pisi kali huko Zanzibar, bado hukomi?
Hili swali mwulize Onyango ana majibu sahihi.Goli ambalo hata wewe demu ukitengewa unaeweza kufunga ndiyo yanakupa jeuri kuwa unashabikia wanaume?
Kwani Kuna kipi kilichofanywa na wazee wa Simba? Yanga imeshindwa kuifunga Simba kwasababu ya Sarpong tu. Shot on target ni nyingi hivyo nafasi zimetengenezwa wameshindwa kuzitumia. Mabeki wa Simba wangekuwa wazuri wangeweza kuzuia mashambulizi ya Yanga kama vile walivyoambulia zero shots on targetKuna kelele nyingi sana kuwa timu fulani ina wazee sana na hivyo wanaamini ingeweza kufanya vizuri zaidi iwapo wangekuwa vijana.
Sasa niwauluze,hawa wanaoshindwa kuwafunga hawa wazee,ni vijana aina gani hawa?Au ni vijana sio rizki?
Umeona wapi kijana anapigana na kikongwe halafu anadhibitiwa hadi roho inaanza kumtoka?
Eymeel alikutukana hata wewe . Kichwa cha duara . Unadhani walitukanwa yanga tu? Kwa taarifa yako ubaguzi hauna ubaguzi! Akibaguliwa ngolo kante kule Epl tumebaguliwa weusi wote bila kujali wewe ni chelsea au simba.Saidou sijui.nani kwao ni vijana Eymael hakukosea
Kwani nyie mademu mbona hamkufunga mkuu au yanga walicheza 5 nyie 3. Mbumbumbu fc in Rage voiceGoli ambalo hata wewe demu ukitengewa unaeweza kufunga ndiyo yanakupa jeuri kuwa unashabikia wanaume?
Sio kila goli linafungwa kupitia shot on target, utopolo jielemishe.Kwani Kuna kipi kilichofanywa na wazee wa Simba? Yanga imeshindwa kuifunga Simba kwasababu ya Sarpong tu. Shot on target ni nyingi hivyo nafasi zimetengenezwa wameshindwa kuzitumia. Mabeki wa Simba wangekuwa wazuri wangeweza kuzuia mashambulizi ya Yanga kama vile walivyoambulia zero shots on target
Kwani nyie mademu mbona hamkufunga mkuu au yanga walicheza 5 nyie 3. Mbumbumbu fc in Rage voice
Nimesoma mara mbili mbili lakini nashindwa kukupata ulikuwa unalenga nini. Unazungumzia mchezo gani mkuu, ni rede ama? Maana kama ni mpira wa miguu ni lazima ulenge gori ndio upate goli. Huwezi kupata goli kama haulengi goli. Lakini ngoja nikuache inawezekana unasiri yenu ya Simba kuwa magoli yenu ya kichawi huwa hayalengi golini labda.Sio kila goli linafungwa kupitia shot on target, utopolo jielemishe.
Ni hivi mpira ukigonga mwamba au nguzo inakuwa sio shot on target mpaka liwe goli ndio itahesabika kama ilikuwa shot on target. Kwa maana hiyo nguzo ikigongeshwa hata mara kumi bila kuwa magoli itahesabika ni zero shot on target. Je timu pinzani ikigongesha nguzo mara kumi utaisifia beki kuwa ni imara sana kwa vile tu shot on target inasoma zero? Ume elewa au niendelee kukupa shule mbumbumbu wa utopolo?Nimesoma mara mbili mbili lakini nashindwa kukupata ulikuwa unalenga nini. Unazungumzia mchezo gani mkuu, ni rede ama? Maana kama ni mpira wa miguu ni lazima ulenge gori ndio upate goli. Huwezi kupata goli kama haulengi goli. Lakini ngoja nikuache inawezekana unasiri yenu ya Simba kuwa magoli yenu ya kichawi huwa hayalengi golini labda.
Sio kila goli linafungwa kupitia shot on target, utopolo jielemishe.
Jitathmini mwenyewe kwanzaNi hivi mpira ukigonga mwamba au nguzo inakuwa sio shot on target mpaka liwe goli ndio itahesabika kama ilikuwa shot on target. Kwa maana hiyo nguzo ikigongeshwa hata mara kumi bila kuwa magoli itahesabika ni zero shot on target. Je timu pinzani ikigongesha nguzo mara kumi utaisifia beki kuwa ni imara sana kwa vile tu shot on target inasoma zero? Ume elewa au niendelee kukupa shule mbumbumbu wa utopolo?
Point yangu ni kuwa nilimaanisha sio kila unapoona zero short on target basi hakukuwa na hatariJitathmini mwenyewe kwanza
Vijana mbona mnashindwa kumdhibiti kikongweUtopolo ni wajinga,mgumba kapata mimba basi mji mzima anatema mate