changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Na aliyesema kuwa "Sio kila goli linafungwa kupitia shot on target," ni nani? Naomba niambie kuna goli gani liliwahi kufungwa kwa mpira kwenda nje ya goli (of target)Point yangu ni kuwa nilimaanisha sio kila unapoona zero short on target basi hakukuwa na hatari