Hivi hawa vijana wanaoshindwa kufunga goli timu ya "wazee" ni vijana gani hawa?

Hivi hawa vijana wanaoshindwa kufunga goli timu ya "wazee" ni vijana gani hawa?

Point yangu ni kuwa nilimaanisha sio kila unapoona zero short on target basi hakukuwa na hatari
Na aliyesema kuwa "Sio kila goli linafungwa kupitia shot on target," ni nani? Naomba niambie kuna goli gani liliwahi kufungwa kwa mpira kwenda nje ya goli (of target)
 
Ni hivi mpira ukigonga mwamba au nguzo inakuwa sio shot on target mpaka liwe goli ndio itahesabika kama ilikuwa shot on target. Kwa maana hiyo nguzo ikigongeshwa hata mara kumi bila kuwa magoli itahesabika ni zero shot on target. Je timu pinzani ikigongesha nguzo mara kumi utaisifia beki kuwa ni imara sana kwa vile tu shot on target inasoma zero? Ume elewa au niendelee kukupa shule mbumbumbu wa utopolo?
sio mara kumi mkuu hata iwe mara buku 2 iyo sio short on target na haitahesabiwa
 
[emoji3][emoji3]mtu kama wewe unajiita mwana michezo hujui hata goli linafungwa vipi
Nimerudia kusoma mara nne nne najaribu kuwaza anataka kumaanisha nini maana mimi naona haiwezekani kupatikana goli kupitia mashuti yanayopigwa nje ya goli. Sasa jamaa kanistajabisha aisee
 
[emoji3][emoji3]mtu kama wewe unajiita mwana michezo hujui hata goli linafungwa vipi
Kweli nilivyoandika kuna makosa ila nilikuwa namaanisha sio kila unapoona zero shot on target basi hakuna shambulizi linalokaribia kuwa goli limefanyika.
 
Eymeel alikutukana hata wewe . Kichwa cha duara . Unadhani walitukanwa yanga tu? Kwa taarifa yako ubaguzi hauna ubaguzi! Akibaguliwa ngolo kante kule Epl tumebaguliwa weusi wote bila kujali wewe ni chelsea au simba.
Endelea kuwasifia wazungu kisa simba na yanga
Mimi sio upotolo we ngedele matatizo yenu msihamishie kwetu, yale maneno waliambiwa mashabiki wa upotolo
 
Back
Top Bottom