Hivi hawa viongozi wa CHADEMA ni Watanzania wenzetu kweli hawa?

Mungu ana huruma sana. Mimi ningepewa hata theluthi ya uwezo wa Mungu, mtu kama wewe na wote wanaoshabikia wauwaji wa watanganyika ningewakaanga kwa jua. Yaani hili jua unaloliona kila siku ningelishusha na kuwakaanga mashetani wote wa ccm
 
Mkuu hamuitakii mema Tanzania...acheni huo ujinga, Tanzania is better than everything
 
Mungu ana huruma sana. Mimi ningepewa hata theluthi ya uwezo wa Mungu, mtu kama wewe na wote wanaoshabikia wauwaji wa watanganyika ningewakaanga kwa jua. Yaani hili jua unaloliona kila siku ningelishusha na kuwakaanga mashetani wote wa ccm
Hahaaaaaa mkuu, mbona unaonekana tayari unakaangwa . Chadema ni Chama Cha hovyo sana
 
Viongozi sahihi ni wale wanaoua watanzania ili wakae madarakani na familia zao.
Mkuu wewe unacheo gani jamii forum maana muda wote upo, hebu tafuta KAZI ya kufanya
 
Mimi Natamani nishike mashine halafu nilinde kituo Cha mafuta halafu waje panyaroad wanataka kuchoma aisee atamiminiwa moto hamtaamini🤣
Kwa hiyo hata yule jamaa wa majini na yeye alikuwa panya road.....!?
Na yule mtangazaji wa clouds na yeye alikuwa panya road!!?
 
Nida wanatambua ni watanzania ndio maana bado wapo nchini
Wewe unachotakiwa kufanya ni utuletee hoja zipi kutoka kwao tunazotakiwa kuzipuuza
Na ubainishe malalamiko yao na tiba zake
Hivi Heche ameacha kutumia dawa siyo
Wakuu acheni kutembelea ringi Bora mjichukulie Sheria mkononi🤣
 
Yaani kuna watu sijui wanatumia nini kung'amua mambo.. embu mi nilale make hizi nyuzi zingine ni za ajabu..
 

Unaona chadema wanayoyafanya hayo. Watu kupotea, na kubwa zaidi walituma vyombo vya dola kuua wananchi huku wakipita majumbani mwao kuwaua kwa risasi za moto. Ccm ni wasafi kabisa na nawaombea dua Mungu awapatilize kuanzia viongozi wao mpka wale wanafurahia mauaji yaliyosababishwa ni chadema.
 
Mazuzu ndo walifanya tuchelewe kupata uhuru tuko 1905 Hadi 1961
Na uhuru wa kiuchumi unacheleweahwa pia na mazuzu tulionao kizazi hiki

Yaani Chadema inayotetea haki wa kuishi kwenye nchi Yao bila kutekwa na kuua ndo unaona sio watanzania

Chadema inayokemea ufisadi ndo unahoji utanzania wao

Nikikuita lizuzu lile lilobadiliahiwa almasi Kwa gololi
Una tofauti gani na hao mababu zako
 
We Mjinga, Samia THE BUTCHER ni lazima ashughulikiwe pande zote. Ndani na nje ya nchi.
 
Tuanzie hapa.. Polepole yuko wapi??? Ukiweza kumleta Polepole akiwa hai mtalipwa na wazalendo vituo vyote vya mafuta vilivyoungua.. Wananchi walifanya fujo baada ya kufanyiwa fujo na wizi na serikali yao .. ie.. utekaji, mauaji, wizi wa kura na uchaguzi, ubakaji , ulawiti, kusingiziwa kesi na mengineyo ndo matokeo ya yaliyotokea october29..
 

Wewe endelea tu kutetea serikali haramu ya Wauwaji kwa vipropaganda uchwara.
 
Mkuu wewe unacheo gani jamii forum maana muda wote upo, hebu tafuta KAZI ya kufanya
Nipo muda wote maana nimejiajiri sijaajiriwa kama ww. Na jf iko kiganjani sio kwamba naifuata mahali. Una lingine kwa msaada zaidi?
 
Nipo muda wote maana nimejiajiri sijaajiriwa kama ww. Na jf iko kiganjani sio kwamba naifuata mahali. Una lingine kwa msaada zaidi?
Sawa nimekuelewa
 
Wewe endelea tu kutetea serikali haramu ya Wauwaji kwa vipropaganda uchwara.
Hakuna serikali haramu duniani, halafu kufa au kutokufa unaamua mwenyewe....ww nenda ukaibe mitungi ya watu sokoni uone kama kesho utaamka lazima ufe tu
 
Wenzio wanakupumulia kwaiyo wew ulitaka wasifie kile kinacho enderea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…