Chadema ni Chama Cha hovyo sana, na wasahau hawaji pata hata mbunge mmoja
Mnajidanganya sana hamuwezi kuiba kura maisha yote. Kama mnafikiria hali itaendelea kama ilivyo mnajidanganya. Uzalendo wa Watanzania ni mkubwa na utawaondoa wauaji tu ni muda tu