Hivi hawa viongozi wa CHADEMA ni Watanzania wenzetu kweli hawa?

Wenzio wanakupumulia kwaiyo wew ulitaka wasifie kile kinacho enderea
Wasingeongea zile pumba, wamejionyesha vile hawana akili, mkuu naomba nione cheti Cha form 4 Cha heche
 
Mkuu hamuitakii mema Tanzania...acheni huo ujinga, Tanzania is better than everything
Kuitakia mema Tanzania gharama zake ni kubwa mno, ni mzigo mzito kwa wananchi ambao ulikuwa unawaelemea. Baadhi ya hiyo mizigo ambayo wananchi wanalazimika kuibeba ili Tanzania ionekane ina amani ni kuukubali na kuuvumilia utekaji na mauwaji pamoja na kukosa uhuru wa kujieleza na kukosoa.

Hayo ni baadhi ya ambayo mwananchi analazimika kukubali kuishi nayo hapa Tanzania kama kitu cha kawaida, kinyume na hivyo ni kutoitakia mema Tanzania.

Sasa huo ni mzigo mzito sana, ni gharama kubwa za kuitakia mema nchi hii.
 
Sidhani hoja yao ni mbunge.
Wasikilize vizuri mkuu. Au ubongo wako utakuwa tofauti na wenye akili timamu.
Ninaakili timamu kabisa mkuu, lakini kauli za viongozi watakaozielewa ni wale wasio na akili tu.
 
Upo sahihi. Tuendelee kuvipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama ni wazalendo KWELIKWELI
 
Nguvu ya kaauli ya viongozi wa chadema inaendana na mazingira ya sasa hasa kwa viongozi wetu waliopitia mlango wa nyuma
 
Upo sahihi. Tuendelee kuvipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama ni wazalendo KWELIKWELI
Nadhani hujanielewa, wa kupongezwa hapa ni wananchi maana wao ndio wanaoubeba huo mzigo na sio vyombo vya usalama au viongozi wa nchi.
 
Kesho utasikia umekuwa mkuu wa Wilaya,hongera una akili
 
Ebu elezea kwanza utanzania ni nini kabla ya kukubaliana au kukupinga.
 

mbona hukuja kuchukua buku 7 yako?
 
Hakuna serikali haramu duniani, halafu kufa au kutokufa unaamua mwenyewe....ww nenda ukaibe mitungi ya watu sokoni uone kama kesho utaamka lazima ufe tu
Ila ukiiba kura unaua na kuapishwa kuwa rais!
 
Vipi wale wanaolazimisha kubaki madarakani kwa mitutu ya bunduki,uteka na mauji,katiba mbovu na tume ya uchaguzi isiyo huru?
 
Hakuna serikali haramu duniani, halafu kufa au kutokufa unaamua mwenyewe....ww nenda ukaibe mitungi ya watu sokoni uone kama kesho utaamka lazima ufe tu

Kama Wizi ungekuwa unauwa leo rusingekuwa na akina Samuya wala Kikwete. Wote wangeshakuwa historia.
 

Mitaala ya elimu yetu inahitaji maboresho sana mkuu, mtu kama huyu anajua hata kuandika barua ya kuomba kazi na akaeleweka? Tunahitaji sana kufundisha watoto critical analysis na kujenga hoja kwa kweli, ndio maana tuna viongozi hata wakiongea unaona tope tupu! Tuwawezeshe aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…