Hivi hawa viongozi wa CHADEMA ni Watanzania wenzetu kweli hawa?

Kwamba kwa sababu wanatetea wananchi dhidi ya mzanzibari muuaji ndio unasema sio watanzania? Jiulize hao watekaji na wauaji ni watanzania kweli? Stupid
Nani anatetewa na Hawa vibaka wa chadema?
 
Wewe hii nchi unaijua vizuri? Wazee kama Mzee Pinda bado hii nchi hawaijui kwa asilimia 100, sembuse we kidampa ,chawa wa juzi tu, itakuchukua miaka 60 mbele kuijua hii nchi
 
Wewe hii nchi unaijua vizuri? Wazee kama Mzee Pinda bado hii nchi hawaijui kwa asilimia 100, sembuse we kidampa ,chawa wa juzi tu, itakuchukua miaka 60 mbele kuijua hii nchi
Mkuu Sasa mbona chadema wanatoa matamko ya kipumbavu sana hebu naomba cv zao
 
Mkuu Sasa mbona chadema wanatoa matamko ya kipumbavu sana hebu naomba cv zao
Chadema sio mama yako au baba yako, ccm sio mama yako au baba yako, mmekosa hoja za kushindana na Chadema ,then mnakija na upumbavu hapa.

Ccm mlizitangaza wenyewe kwa ushindi wa asilimia 100, chadema haikushiriki katika chaguzi zenu , hata katika mauaji ya 29 ,leo mnawatafuta wamewakosea nini.

Mme muweka mwenyekiti wao ndani kwa kesi ya kihuni tu , hamjatosheka bado, ifuteni sasa
 
Nimesema chadema ni kikundi Cha wahuni, kamwe hawaji pata hata DIWANI tu, Yale mauaji yote yamesababishwa na chadema, tuombe uzima Ila 2030 hampati hata DIWANI mmoja
 
Nimesema chadema ni kikundi Cha wahuni, kamwe hawaji pata hata DIWANI tu, Yale mauaji yote yamesababishwa na chadema, tuombe uzima Ila 2030 hampati hata DIWANI mmoja
Ccm ni kikundi cha namna ipi? Toa upumbavu wako hapa
 
Alie kwiba uchaguzi ndo mtazania sio ila chadema sio watanzani, unaweza ifuta chadema nchi hii ila huwezi ifuta imani ya chadema nyoyoni mwa watu. Zingatia hili
 
Hao ni waTanganyika Original ,wanaopambana kuinasua Tanganyika kwa mafisadi papa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…