Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Unamatatizo flani ivi,nimekutizama mudaAcha kujikomba komba
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamatatizo flani ivi,nimekutizama mudaAcha kujikomba komba
Huyo Andrew Cuomo kaandaliwa kuwa kiongozi tangu mdogo, baba yake, Mario Cuomo alikuwa Gavana wa New York kama yeye.Namwangalia huyu Gavana Cuomo wa New York kupitia Fox News akimwaga maneno yalipangilika vizuri kuhusu corona kwa muda mrefu sasa, zaidi ya saa moja na zaidi. Ukimwangalia haonekani akisoma popote pale (labda kama sielewi). hakuna blah blah blah, ni madini tupu.
Nawakumbuka kina Obama na viongozi wengine wengi wa Marekani wako hivyo. nikilinganisha na huku kwetu naona kama kuna utofauti mkubwa sana. wajuzi, hawa jamaa wanawezaje? Ni uwezo tu wa akili zao au kuna namna wanafanya?
Alafu kiingereza chake anaongea sentence moja moja hata Mimi nilikuwa naelewa Hana Ile slang kama trumpHuyo Andrew Cuomo kaandaliwa kuwa kiongozi tangu mdogo, baba yake, Mario Cuomo alikuwa Gavana wa New York kama yeye.
Halafu wenzetu shule wanazifanyia kazi kweli, si ku copy copy tu vitu. Na mambo ya public speaking Marekani unaweza kukuta kitoto kinacheza Basketball High School, kinaukizwq maswali, kinajieleza vizuri kuliko mwanasiasa mkongwe wa Tanzania.
Wamejiandaa, nasoma autobiography ya Andrew Cuomo hapa, jamaa yuko vizuri katika kujieleza.
Ila Marekani nasi tuna matutusa yetu kama Trump.
Kuna watu kama 100,000 wamwanzisha petotion press conferences za kila siku za Trump zisiineshwe kwenye TV.
Wengine wanasema wanataka Andrew Cuomo agombee urais.
Mtu ukiwa mchapakazi na unafuatilia mambo, unasoma, unashauriana na staff wako, wanaweza kufanya kazi kubwa wao, wewe wanakuoa u present tu main points.
Ukitaka kujua hili, ukiangalia press conferences za Andrew Cuomo, utaona kuna maswali mengine technical akiukizwa anawaita wasaidixi wake walii wataalamu kwenye nyanja husika za swali wajibu kitaalamu zaidi.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Marshall alikuwa kichwa, this is not to take anything from that.Kwa viongozi wote wa dunia waliopita hakuna mtu namshangaa kama George Marshall, Secretary of State wa Marekani kipindi na baada ya vita ya pili ya dunia. Sijui aliwezaje kushawishi serikali nzima itoe misaada kwa Ulaya baada ya vita ( Marshall Plan). Yule mtu alikuwa na uwezo mkubwa mno wa kuwasilisha jambo.
ahsante sn, nakubaliana nawe kuwa hawa watakuwa wanaaandaliwa vizuri katika kuongea.....hawawi washangaaji shangaaji. siwashangai hao jamaa wanaotaka huyo Cuomo awe agombee uraisi, yuko vizuri kiukweli!Huyo Andrew Cuomo kaandaliwa kuwa kiongozi tangu mdogo, baba yake, Mario Cuomo alikuwa Gavana wa New York kama yeye.
Halafu wenzetu shule wanazifanyia kazi kweli, si ku copy copy tu vitu. Na mambo ya public speaking Marekani unaweza kukuta kitoto kinacheza Basketball High School, kinaukizwq maswali, kinajieleza vizuri kuliko mwanasiasa mkongwe wa Tanzania.
Wamejiandaa, nasoma autobiography ya Andrew Cuomo hapa, jamaa yuko vizuri katika kujieleza.
Ila Marekani nasi tuna matutusa yetu kama Trump.
Kuna watu kama 100,000 wamwanzisha petotion press conferences za kila siku za Trump zisiineshwe kwenye TV.
Wengine wanasema wanataka Andrew Cuomo agombee urais.
Mtu ukiwa mchapakazi na unafuatilia mambo, unasoma, unashauriana na staff wako, wanaweza kufanya kazi kubwa wao, wewe wanakuoa u present tu main points.
Ukitaka kujua hili, ukiangalia press conferences za Andrew Cuomo, utaona kuna maswali mengine technical akiukizwa anawaita wasaidixi wake walii wataalamu kwenye nyanja husika za swali wajibu kitaalamu zaidi.
Sent from my typewriter using Tapatalk
kabisa yaani, unajikuta unaendelea kumsikiliza tuAlafu kiingereza chake anaongea sentence moja moja hata Mimi nilikuwa naelewa Hana Ile slang kama trump
Acha kujikomba komba
Juzi Cuomo kuna sehemu aliulizwa, rais Trump kasema anataka kufanya quarantine New York, anasema mmeongea tayari, unasemaje?ahsante sn, nakubaliana nawe kuwa hawa watakuwa wanaaandaliwa vizuri katika kuongea.....hawawi washangaaji shangaaji. siwashangai hao jamaa wanaotaka huyo Cuomo awe agombee uraisi, yuko vizuri kiukweli!
Mtu anasifia Chama cha vilaza kama ccm karne hii, kweli safari ni ndefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
si mchezo, safi sana!Juzi Cuomo kuna sehemu aliulizwa, rais Trump kasema anataka kufanya quarantine New York, anasema mmeongea tayari, unasemaje?
Akawa very clear, akasema nimeongea na rais, tumekubaliana na rais, lakini, ni kuhusu mambo mengine. Hilo la quarantine hatujakubaliana na hatujaongea, sijui unachoongelea.
Baadaye akasema rais akileta quarantine tutamshitaki. Hana mamlaka hayo.
Yani fikiria kama Makinda ambishie Magufuli amwambie hana mamlaka ya kufanya kitu, akitaka kufanya kwa nguvu atashitakiwa!
Trump mwenyewe akanywea. Akasema basi sileti hiyo quarantine.
Cuomo kasoma sheria, anajua katiba.
Yani hata pale anapoongea sio anajiongelea ovyo tu, anaongea kwa kufuata misingi ya sheria. Ndiyo maana hata akitoa maoni yake anakuwa clear sana kusema haya maoni yangu tu.
Sent from my typewriter using Tapatalk
pana kiongozi, mada yangu ni hiyo hiyoKUNA MADA UNATAKA UIANZISHE ILA UNAZUNGUKA, ANYWAY WAJUVI TUMESHAKUSOMA.
[emoji23][emoji23][emoji23]..Noma na nusuJiwe yeye anahutubia huku anaangalia nani anamwangalia mke wake
😂😂😂Subiri uone baada ya corona kupita kutakuwa na Makonda Plan.
Plan ya kuwasaidia watanzania kupambana na madhara ya corona virus
Halafu ndio watapona kwa corona auNamwangalia huyu Gavana Cuomo wa New York kupitia Fox News akimwaga maneno yalipangilika vizuri kuhusu corona kwa muda mrefu sasa, zaidi ya saa moja na zaidi. Ukimwangalia haonekani akisoma popote pale (labda kama sielewi). hakuna blah blah blah, ni madini tupu.
Nawakumbuka kina Obama na viongozi wengine wengi wa Marekani wako hivyo. nikilinganisha na huku kwetu naona kama kuna utofauti mkubwa sana. wajuzi, hawa jamaa wanawezaje? Ni uwezo tu wa akili zao au kuna namna wanafanya?
Hiyo itakuwa kama kawaida ya mipango yake ilivo. Huwa haifanikiwi, kasoro moja tu ya kuingia kituo cha televisheni na silaha.Subiri uone baada ya corona kupita kutakuwa na Makonda Plan.
Plan ya kuwasaidia watanzania kupambana na madhara ya corona virus
Mzee Xi sio mwongeaji kabisa. Na sio kawaida ya viongozi wa China kuwa waongeaji maana hawaulizwi, huwezi kuwahoji wala kuwataka watoe tamko. Hii case ya corona si unaona Trump anaongea kila mara, Xi yeye kaongea mwishoni kabisa wakati Wuah wanaifungua lockdown.inaonekana kuna vichwa sana kule......mzee xi jinping huwa namuona na makaratasi yake akisema kitu
Hao unaowaona ni final products za best universities in the world..Namwangalia huyu Gavana Cuomo wa New York kupitia Fox News akimwaga maneno yalipangilika vizuri kuhusu corona kwa muda mrefu sasa, zaidi ya saa moja na zaidi. Ukimwangalia haonekani akisoma popote pale (labda kama sielewi). hakuna blah blah blah, ni madini tupu.