Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mbona huyu wa kwetu kasoma UDSM ambayo ipo considered as the best kwa taifa hili lakini hawezi kuongea cha maanaHao unaowaona ni final products za best universities in the world..
Obama .. Harvard
Cuomo Yale na kadhalika..
Ukipeleka watu best schools lazima wakisimama wakiongea ..waongee vya maana
Mbona hakuna sehem kaandika rais??Unamchafulia jina rais wetu msomi mwenye doctorate
Nilishaleta
Wewe ni jiwe??Kuandika kwako ushuzi haikusaidi kitu zaidi ya kukuongezea idadi ya nzi makalioni
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Unamatatizo flani ivi,nimekutizama muda
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Kama yule mlevi aliye hama chama fulan akapewa unaibu......viongozi wengi wa Tanzania ni wapayukaji tu ndio maan wanakinzana wao kwa wao mmoja wapo anapotoa tamko mwingine anakanusha au kupinga.