Hivi hawa wabunge 2015 wanajiangalia kwenye marudio kupitia internet na tv baada kutoka bungeni

Hivi hawa wabunge 2015 wanajiangalia kwenye marudio kupitia internet na tv baada kutoka bungeni

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Aisee yani mpaka aibu wanayo ongea na kujibishana huko.mwengine anaongelea ngono wakati nchi inatatizo la mashule kwao huko vijijini internet wanaisikia.
wengine wanatetea wasanii wao sababu alikuwa meneja,wengine waganga.
nchi hii mungu tusaidie maana tunazungumzwa vibaya na ilivokuw sifa media za mitandao ya kijamii ndio inaona habari tosha kusambaza.
 
Back
Top Bottom