Aisee yani mpaka aibu wanayo ongea na kujibishana huko.mwengine anaongelea ngono wakati nchi inatatizo la mashule kwao huko vijijini internet wanaisikia.
wengine wanatetea wasanii wao sababu alikuwa meneja,wengine waganga.
nchi hii mungu tusaidie maana tunazungumzwa vibaya na ilivokuw sifa media za mitandao ya kijamii ndio inaona habari tosha kusambaza.