Hivi hawa wadada ni watanzania?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Kiukweli kabisa mimi nimekuja mjini mwaka jana tu, yaani sikuzote nilikuwa nakaa kwetu Tandahimba ndanindani, Redio niliyokuwa nasikiliza ni RTD sasahivi inaitwa TBC Taifa. Na hata kiswahili nimejifunza baada ya kuja mjini. Nilivyokuja mjini ndio nikaanza kuwajua na wasanii sahivi nimekuwa mjanja hadi najiogopa. Swali langu ni je hawa wadada wamezaliwa Tanzania au wamekuja huku ukubwani kwa bahati mbaya? Maana tabia na swaga zao naona kabisa hawastahili kukaa kwenye hii nchi ya waswahili akina Msagasumu na ManFongo, sio type yao kabisa. Hawa walifaa sahivi wawe mitaa ya NewYork City wanakula maisha na wakina Mayweather na Justin Bieber. Ukipiga nao stori huwezi fikiri kama hata msalani wanaenda, yaani kumbe kukaa Tandahimba nilikuwa napitwa na mengi.







 
Mkuu mbona hao cha mtoto,ulishawahi kuwaona watoto mitaa ya Ambiance?
 
Hao ni baadhi tu na ulofanikiwa kuwaona,kuna ambao hujawaona na naamini ukiwaona hao utaomba tukuchangie nauli urudi kijijini.
 
Unadanganywa na camera+make up
Kawaangalie saa wametoka kulala
 
Wamekuja kutembelea mbuga za taifa si watanzania hao
 

Wazuri wa poda wasipopaka poda hao ni vinungayembe

Hata papuchi zao zitakuwa zinanuka ng'e
 
Soomoooo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…