Hivi hawa wadada ni watanzania?

Hivi hawa wadada ni watanzania?

Waone hivyohivyo hao mziki wake lazima uwe na vyombo vya kutosha bila hivyo unaweza washa mziki mwenzio asisikie wala kucheza maana uwanja ni mkubwa mno inabidi uwe na mziki mnene
 
mbona hao viazi tu, njoo huku kwetu nikuoneshe
 
Mmmh nifah upo,, VP mbona kimya tatizo nn dadangu
 
Kiukweli kabisa mimi nimekuja mjini mwaka jana tu, yaani sikuzote nilikuwa nakaa kwetu Tandahimba ndanindani, Redio niliyokuwa nasikiliza ni RTD sasahivi inaitwa TBC Taifa. Na hata kiswahili nimejifunza baada ya kuja mjini. Nilivyokuja mjini ndio nikaanza kuwajua na wasanii sahivi nimekuwa mjanja hadi najiogopa. Swali langu ni je hawa wadada wamezaliwa Tanzania au wamekuja huku ukubwani kwa bahati mbaya? Maana tabia na swaga zao naona kabisa hawastahili kukaa kwenye hii nchi ya waswahili akina Msagasumu na ManFongo, sio type yao kabisa. Hawa walifaa sahivi wawe mitaa ya NewYork City wanakula maisha na wakina Mayweather na Justin Bieber. Ukipiga nao stori huwezi fikiri kama hata msalani wanaenda, yaani kumbe kukaa Tandahimba nilikuwa napitwa na mengi.


View attachment 410338
View attachment 410339
View attachment 410343
View attachment 410340
View attachment 410345
View attachment 410341
sasa mkuu nasikia uyu vanessa kaenda kujigegedesha kwa trey songz eti
 
Hapo mwenye kujiheshimu ni mmoja tu na Mrs Mengi na kwa sababu ni Mrs mengi angalau anaweza kuwa na ndoto Ya kulink na kina myweather,hao wengine wote wanabanduliwa kwa milioni kadhaa za madafu.
Duh milioni kadhaa....bora nami nirudi Tandahimba kiongozi.
 
hilo tako la wema mboona silielewi? limekaa irregular au ndo mchina
 
izo picha tu za smrt fone 360 umeshawai kukutananao live
 
Facts:
Tako la sepetu halizami baharini😀😀😀.
 
Pamoja na kuja mjini hauna ktu bado mshamba ...unadanganywa na rangi za kununua bado haujawa mjanja unaitaji muda
 
Back
Top Bottom