King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mkuu hii kauli umenikumbusha mbali sana maana ilipotea mno[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaaaa acha tu ,ngoja tuikumbushie kumbushie isije kusahaulika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii kauli umenikumbusha mbali sana maana ilipotea mno[emoji16][emoji16][emoji16]
UmenenaOsie tate mkuu, shida ipo kwa aliyemuweka hapo had leo badala ya kumtimua
Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake, hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa, hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije?
View attachment 1920140