King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Sep 2, 2021 #21 feyzal said: Mkuu hii kauli umenikumbusha mbali sana maana ilipotea mno[emoji16][emoji16][emoji16] Click to expand... Hahaaaa acha tu ,ngoja tuikumbushie kumbushie isije kusahaulika.
feyzal said: Mkuu hii kauli umenikumbusha mbali sana maana ilipotea mno[emoji16][emoji16][emoji16] Click to expand... Hahaaaa acha tu ,ngoja tuikumbushie kumbushie isije kusahaulika.
mzeempili JF-Expert Member Joined Aug 16, 2021 Posts 327 Reaction score 531 Sep 7, 2021 #22 Edward Teller said: Osie tate mkuu, shida ipo kwa aliyemuweka hapo had leo badala ya kumtimua Click to expand... Umenena
Edward Teller said: Osie tate mkuu, shida ipo kwa aliyemuweka hapo had leo badala ya kumtimua Click to expand... Umenena
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Sep 7, 2021 #23 Mwigulu Nchemba umeishiwa kabisa ubunifu? Si ndio wewe ulikuwa ukijinasibu kuwa mchumi namba moja? Erythrocyte said: Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake, hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa, hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije? View attachment 1920140 Click to expand...
Mwigulu Nchemba umeishiwa kabisa ubunifu? Si ndio wewe ulikuwa ukijinasibu kuwa mchumi namba moja? Erythrocyte said: Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake, hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa, hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije? View attachment 1920140 Click to expand...