Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguli,
Naona macho yako yana matatizo. Na hii inatokana na sababu moja kubwa kwamba hii kitu kwenye linki hapa, kwako haifanyi kazi. Hebu angalia mwenyewe.
https://www.jamiiforums.com/jokes-u...a-wa-botswana-lazima-ucheke-4.html#post868064
Ohh, by the way, Awilo ana wimbo mpya ambao uko kwenye Top ten Africa.
YouTube- C'est pas Complique - African Tonic (Awilo Longomba, Awa Imani, Skalp)
Alikuwa anaitwa GHATO...... Co mchezo dat tym ndo kulikuwa na YENU bana!
Dah!Da! Mzee umenikumbusha mbaali Yes alikuwa anaitwa Ghato. Namshangaa Xspin asemi lolote hapa wakati alikuwaga dancer wa kijijini kwetu.![]()
Dah!
Umenikumbusha mokasini (kwenye kisigino lazima ugongee kachuma ili vigonge na soli isiishe upesi) na raba za DH. Hapo ukikongomelea na suruwale ya mchelemchele afu ukawa unayajua mayenu, vibinti vyote vya fom foo B vinakuwa halali yako.
Isammbe tola ngai mamaNakumbuka wimbo wa Bongo mani ulichezaga na Modesta Sangawe? unaimbwa.....tamu chana aiii teni sile.....
Isammbe tola ngai mama
Iasambeee hoooo,
Monzali zokoko, tola ngai ilongi
Isambeee yoooo!
Kakukakukakukaaaa kakukaaaakaaa uuuuuuuuuuuuuuh! (Hapo lazima uzunguke mara mbili mfululizo, unamalizia na kurusha teke hewaniLOL)
Mzee tuache utani enzi hizo nikiwa mdogo huu ndio muziki wangu wa kwanza kuufahamu(hata kama nisingependa kuusikia wauza vitochi walikuwa wanapiga kwa sauti kubwa kijiji kizima tunasikia), kuna jamaa alikuwa anaimbaga azalakia waa pembeni nangai motema yaleliii yavitunga ......... akapiga na hit nyingine ngoma zakwetu.....alikuwa amepiga bonge la panki jina nimelisahau akapotea mazima......
unamzungumzia gatho mkuu,nilisikia hadithi kipindi fulani kwamba jamaa baada ya kumaliza sekondari ya juu akawa hana uwezo wa kwenda chuo lakini ana li-kipaji likubwa tu.akauza demo kwa promota mmoja akagonga album(au mbili ka sikosei)aka-meki enuff k's kumpeleka skuli akatimkia ufaransa kupiga shule,ndo hadi leo.sijui kama ni kweli lakini.
Ndio nini maana yake.Hao hawajafulia
Wamechambia...