Hivi hawa wamefulia mazima??

Hivi hawa wamefulia mazima??

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
awilo_longomba.jpg

81HqaJYglzL._SL290_.jpg

445ee03ae7a08f4eb9e22210.L._V221775262_SL275_.jpg

P14377TO982.jpg

[ame="http://www.amazon.com/gp/product/images/B000000E2M/ref=dp_image_0?ie=UTF8&n=5174&s=music"]
41THWDT4K8L._SL500_AA300_.jpg
[/ame]

yondo-sister-550.jpg

news_byondo-sister250.jpg

Wengine ni kama akina Def Defao etc
 
Nguli,

Naona macho yako yana matatizo. Na hii inatokana na sababu moja kubwa kwamba hii kitu kwenye linki hapa, kwako haifanyi kazi. Hebu angalia mwenyewe.
https://www.jamiiforums.com/jokes-u...a-wa-botswana-lazima-ucheke-4.html#post868064

Ohh, by the way, Awilo ana wimbo mpya ambao uko kwenye Top ten Africa.
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=h0Mbr9O5ans"]YouTube- C'est pas Complique - African Tonic (Awilo Longomba, Awa Imani, Skalp)[/ame]
 
Wanakula bata...
Kila kazi ina likizo, mapumziko na kustaafu.
 
Nguli,

Naona macho yako yana matatizo. Na hii inatokana na sababu moja kubwa kwamba hii kitu kwenye linki hapa, kwako haifanyi kazi. Hebu angalia mwenyewe.
https://www.jamiiforums.com/jokes-u...a-wa-botswana-lazima-ucheke-4.html#post868064

Ohh, by the way, Awilo ana wimbo mpya ambao uko kwenye Top ten Africa.
YouTube- C'est pas Complique - African Tonic (Awilo Longomba, Awa Imani, Skalp)

Mzee tuache utani enzi hizo nikiwa mdogo huu ndio muziki wangu wa kwanza kuufahamu(hata kama nisingependa kuusikia wauza vitochi walikuwa wanapiga kwa sauti kubwa kijiji kizima tunasikia), kuna jamaa alikuwa anaimbaga azalakia waa pembeni nangai motema yaleliii yavitunga ......... akapiga na hit nyingine ngoma zakwetu.....alikuwa amepiga bonge la panki jina nimelisahau akapotea mazima......
 
Kama Yondo Sister na yule nanii aliingia Loketo mnamkumbuka jamani?
 
Alikuwa anaitwa GHATO...... Co mchezo dat tym ndo kulikuwa na YENU bana!

Da! Mzee umenikumbusha mbaali Yes alikuwa anaitwa Ghato. Namshangaa Xspin asemi lolote hapa wakati alikuwaga dancer wa kijijini kwetu.
icon10.gif
 
Da! Mzee umenikumbusha mbaali Yes alikuwa anaitwa Ghato. Namshangaa Xspin asemi lolote hapa wakati alikuwaga dancer wa kijijini kwetu.
icon10.gif
Dah!
Umenikumbusha mokasini (kwenye kisigino lazima ugongee kachuma ili vigonge na soli isiishe upesi) na raba za DH. Hapo ukikongomelea na suruwale ya mchelemchele afu ukawa unayajua mayenu, vibinti vyote vya fom foo B vinakuwa halali yako.
 
Nakumbuka wimbo wa Bongo mani ulichezaga na Modesta Sangawe? unaimbwa.....tamu chana aiii teni sile.....
 
Nakumbuka wimbo wa Bongo mani ulichezaga na Modesta Sangawe? unaimbwa.....tamu chana aiii teni sile.....
Isammbe tola ngai mama
Iasambeee hoooo,
Monzali zokoko, tola ngai ilongi
Isambeee yoooo!

Kakukakukakukaaaa kakukaaaakaaa uuuuuuuuuuuuuuh! (Hapo lazima uzunguke mara mbili mfululizo, unamalizia na kurusha teke hewaniLOL)
 
Isammbe tola ngai mama
Iasambeee hoooo,
Monzali zokoko, tola ngai ilongi
Isambeee yoooo!

Kakukakukakukaaaa kakukaaaakaaa uuuuuuuuuuuuuuh! (Hapo lazima uzunguke mara mbili mfululizo, unamalizia na kurusha teke hewaniLOL)

445ee03ae7a08f4eb9e22210.L._V221775262_SL275_.jpg

ha ha ha ha te te te
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
 
Mzee tuache utani enzi hizo nikiwa mdogo huu ndio muziki wangu wa kwanza kuufahamu(hata kama nisingependa kuusikia wauza vitochi walikuwa wanapiga kwa sauti kubwa kijiji kizima tunasikia), kuna jamaa alikuwa anaimbaga azalakia waa pembeni nangai motema yaleliii yavitunga ......... akapiga na hit nyingine ngoma zakwetu.....alikuwa amepiga bonge la panki jina nimelisahau akapotea mazima......

unamzungumzia Gatho mkuu,nilisikia hadithi kipindi fulani kwamba jamaa baada ya kumaliza sekondari ya juu akawa hana uwezo wa kwenda chuo lakini ana li-kipaji likubwa tu.akauza demo kwa promota mmoja akagonga album(au mbili ka sikosei)aka-meki enuff K's kumpeleka skuli akatimkia ufaransa kupiga shule,ndo hadi leo.sijui kama ni kweli lakini.
 
unamzungumzia gatho mkuu,nilisikia hadithi kipindi fulani kwamba jamaa baada ya kumaliza sekondari ya juu akawa hana uwezo wa kwenda chuo lakini ana li-kipaji likubwa tu.akauza demo kwa promota mmoja akagonga album(au mbili ka sikosei)aka-meki enuff k's kumpeleka skuli akatimkia ufaransa kupiga shule,ndo hadi leo.sijui kama ni kweli lakini.

kama ni kweli nimepipenda hii
 
Nadhani wengi wao (mfano Yondo sister) umri umewatatiza. Wengi wao umri ni saa za jioni jioni jua linakaribia kuzama, wamechoka, wanapumzika sasa kwa kupenda au kwa lazima. Hawawezi kuhimili mikikimikiki ya utandawazi kwenye ushindani mkali.
 
Nakumbuka huyo kanda bongoman,alikuja akapiga mnazi bure,mzee ilikuwa patashika nguo kuchanika,watu wawili walipoteza maisha,kuna dem alijichomeka katikati ya watu,kutoka chupi hana,nyimbo yenyewe alipiga moja umeme ukakatika na onyesho likaisha
 
Back
Top Bottom