Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lini wewe ukafahamu mchezo wa soka. Hakuna Mwafrika mweledi kwa chochote
Emma umejibu vizuri unajua kuna wakati nawaza modric alikuwa kwenye ubora wakati yupo Tottenham ,muangalie bale wa Tottenham na huyu wa Madrid maisha ya mpira ni mpito sanaModric' amekuwa kwenye kiwango bora kwa muda mrefu sema tu alifunikwa na kivuli cha Xavi, Iniesta kwenye midfield hapo nyuma kabla ya wazee hao kuchoka
Ila tuzo inamfaa sana tena sana
Kauli za kuwainua wazungu kuwafanya wawe juu kwa kila kitu ni ulimbukeniEndelea kujidharau mkuu, Lakini usiwasemee na wenzio.