Ila kwakweli wanaume tunashikwa akili sana na nguo za wanawake, sasa huyo mbona ni mwanamke wa kawaida sana, sema vi vazi vyake ndio vinaleta tamaa tu, pengine ukiwa naye karibu ukajuta .....
Danganya watu waingie king wafumuliwe marinda
Mkabesh ni mke wa mtu(mme wake ndo mmiliki wa jengo la tanzanite park hapo mwenge hilo ghorofa ana mawe na anatembea na bastora nilishatoleana nae bastora alikuwa anammendea dem wangu)
Ingia cha kike uone kitakachokukuta